Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Ujiajiri bila mtaji me napiga bachelor degree in logistics & transport management, mkuu nasoma ili niwe na mawazo mapana kidogo kuhusu kuajiriwa ikitokea nitafanya hivyo but ndoto zangu zipo mbali sana na kuajiriwa...
Napendelea mawili tu chuoni communication skills na transport safety and security kwa sababu ndio masomo pekee nayosoma bila kutumia scientific calculator..
Ila haya matatu yaliyobaki yaani kama haupendi hesabu baasi lazima ile kwako ni mwendo wa calculations hadi naogopa aisee
Aiseee sisi ambao tumekimbia shule toka form 4, tunawaonea wivu mliosoma elimu ya juu ila njooni tuungane mtaani tusake hela tusake mapema kitaelewaka tu mkuu...
 
Back
Top Bottom