Namge
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,446
- 1,991
Aisha Mashalaah...wema wake wampamba kila mahaliMungu ametuumba kwa mfano wake, hujambo aisha
Aisha Mashalaah...wema wake wampamba kila mahaliMungu ametuumba kwa mfano wake, hujambo aisha
Sana tu, Jumapili hiyooo ndiyo inaishia hivyo, kesho blue monday..Mungu Ni mkubwa sana

Aisha hajambo Hofu na mashaka ni kwako ndugu yanguMungu ametuumba kwa mfano wake, hujambo aisha
Mahali ulipomkamatia bi aisha mpaka amedata asikiii lolote juu yako kwa mahaba naomba na mimi dawa shehe ili nimvute mmoja kwanguAisha Mashalaah...wema wake wampamba kila mahali
Yangu ni mengi ya moyoniAisha hajambo Hofu na mashaka ni kwako ndugu yangu
Moyoni mwangu nmepafanya makazi salama kwake.. Hakika huba lashinda husuda..Yangu ni mengi ya moyoni
Mengi tu niliyonayo vipi kaka kituko huyu umechimbua wapi
Pakumpata ni wapiWapi zaidi ya Nyumbani kwake, huyo ni shemeji yangu najua pakumpata
Wapi, si chini ya mwembePakumpata ni wapi
Haupendi Mambo ya kijingaNiliacha baada ya kugundua kuwa wewe haupendi
Namba nitakupa relaxNtakupatia mhmhh jamani hii kauli mbona inamaanisha nitarajie mwakani kupewa namba
Imekufaa ile tshirt? Skin jeans sivaiNiliyokununulia ile skin jeans imekufaa
Mengi kama yapi nijuze shemKituko nipo, na niliwaahidi ntakuchimbua, asante kwa kuja maswali yalikuwa mengi
Kijinga cha moto mambo ya kijijini haya nimepakumbuka kwetuHaupendi Mambo ya kijinga
Kwetu kuzuriKijinga cha moto mambo ya kijijini haya nimepakumbuka kwetu
Kuzuri napapenda mnoKwetu kuzuri
Zangu akili zimeyeyuka sio mbaya binamu kinyama cha hamu, nitaoa binamu tukuze unduguNa wewe unaharibikiwa yaani uoe ndugu zangu
Mengi kama yapi nijuze shem
kwetu ni kama kwenu?Kijinga cha moto mambo ya kijijini haya nimepakumbuka kwetu