Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Dem boy mwambie t9 sijawahi tembea kwa miguu umbali hata wa mita tatu ! Aniombe radhi tafadhali
Tafadhali antidot msamehe pacha wangu labda alikunukuu vibaya,so unajua smartphone zilivyo na majanga kwenye uandishi yawezekana uliandika cm,ikaja km,j2 iwe njema kwenu nyote nikianza na pacha mwenyewe,antidot,gbefa,aisha,mama fb sijui kashatia koment yoyote asubui hii,supermarket kabla ya mida ya lunch tunataka koment humu,sakayo vp upo powa?amazing,namge,ringson na kituko mwenyewe sina shaka na nyie na j2 hii
 
Geresha tu t9 si unaona apo anataka umtake radhi hajawahi tembea hata mita3 kwa mguu
Mguu kukanyaga kilometers nyingi hivyo hawezi banah, nilijuwa tu kwamba hajawahi kanyaga kilometers zote hizo ila ni vyema kufanya mazoezi kwa kukimbia kilometers nyingi ili kufanya mwili na viungo vingine vya mwili vifanye kaze zake kama ilivyokusidiwa, lets have funy, jf inatupa fursa kuburudika sana
 
Humu ndani nani anaongoza ligi wadau
Wadau wote mliopo kwenye list niwatakieni Jumapili njema nyie na familia zenu, na vyema mpigie Mungu goti mlilie akupe hitaji la moyo wako, Nawakubali sana my online friends viva amani na upendo

Sakayo,
antidot,
atug,
Black womani,
gbefa,
kituko,
Mamaafacebook
Aishah2016,
Anna leonard,
dem boy,
stacia,
Ngalikihinya,
Hb wa ilala,
Tetramelyz,
Bbc,
amazing,
namge,
inconvenient Truthsringson
 
Inconvenient truthsringson ni mgeni nini mbona simfahamu, mkuu hivi una ugomvi na mamaafacebook, Coz she is not in the list, by the way nawe pia uwe na jumapili mwanana
 
Inconvenient truthsringson ni mgeni nini mbona simfahamu, mkuu hivi una ugomvi na mamaafacebook, Coz she is not in the list, by the way nawe pia uwe na jumapili mwanana

Mwanana shehe, ehh yani nimejishangaaa kumsahau mamaafacebook naye ametupotea sana, mamaafacebook hanaga conflict, mtu wa watu
 
Mwanana shehe, ehh yani nimejishangaaa kumsahau mamaafacebook naye ametupotea sana, mamaafacebook hanaga conflict, mtu wa watu
Mtu wa watu kweli coz watu hatujaona koment yake masaa kadhaa tu 2shaanza kumulizia sijapitia koment za leo ivi kashakoment kweli?
 
Tafadhali antidot msamehe pacha wangu labda alikunukuu vibaya,so unajua smartphone zilivyo na majanga kwenye uandishi yawezekana uliandika cm,ikaja km,j2 iwe njema kwenu nyote nikianza na pacha mwenyewe,antidot,gbefa,aisha,mama fb sijui kashatia koment yoyote asubui hii,supermarket kabla ya mida ya lunch tunataka koment humu,sakayo vp upo powa?amazing,namge,ringson na kituko mwenyewe sina shaka na nyie na j2 hii
Hii jumapili yangu imeanza vibaya
 
Back
Top Bottom