goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,151
Mkuu usijali sote ni binadamu sote ni watanzania lazima tuwe na umoja ns ushirikiano,Haraka na Mungu anisaidie, Asantee mkuu
Ni vyema kukupa pole na matatizo yaliyokupata hakika utapona mwamini muumba wako atakusaidia.