Hb wa Ilala
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,190
- 1,217
..Yetu macho tuone kama atakonda
Atakonda kwa muda ila baada ya kumaliza atanawili vzr sana hadi raha..Yetu macho tuone kama atakonda
Haiwezekani maji kupanda mlimaJune haiwezekani
Mshindi sijui atakua naniHuoni Wa mwisho ndio mshindi.
Amani inatafutwa sana katika nchi kama SudanWatanzania ni wapenda aman
Ndugu yetu anapambana kweliKitabu kitamkondesha ndugu yetu
Kweli Hapa kazi tu.Ndugu yetu anapambana kweli
Hii ni balaa Wakuu.. Huwezi kula bata peke akoHapa kazi tu slogan iliomuweka mh Jpm white house magogoni.. Natumai ndugu zangu mu wazima nyote nafurai kujumuika nanyi katika salamu hii
Peke yako wapi, anapambana huyo mwache tuHii ni balaa Wakuu.. Huwezi kula bata peke ako
Hii salamu imetufikia mkuu, pole na kupigika na kitabu. Ila usijali mchumia juani......Hapa kazi tu slogan iliomuweka mh Jpm white house magogoni.. Natumai ndugu zangu mu wazima nyote nafurai kujumuika nanyi katika salamu hii
Juani hulia kivuliniHii salamu imetufikia mkuu, pole na kupigika na kitabu. Ila usijali mchumia juani......
Yako mambo mengi vijana tunapaswa kuyatafakari mwaka 2017 kwajili ya kujikwamua kiuchumiHii ni balaa Wakuu.. Huwezi kula bata peke ako
Hii inaitwa ni kukaza mwanzo mwisho, ukitaka maisha bora ni vizuri ukaze mtu wanguHapa kazi tu slogan iliomuweka mh Jpm white house magogoni.. Natumai ndugu zangu mu wazima nyote nafurai kujumuika nanyi katika salamu hii
Juani nilazima umenyeke ili ukatumie kivulini huku ukipunga upepoHii salamu imetufikia mkuu, pole na kupigika na kitabu. Ila usijali mchumia juani......
Kivulini ndiyo stage ya kutumia tu stress freeJuani hulia kivulini
Upepo mwanana huku ukiwa na umpendae, lakini mie Kivulini nitakaa na nyie wadogo zangu mlotangulia mjiniJuani nilazima umenyeke ili ukatumie kivulini huku ukipunga upepo