Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Mbingu na nchi zote zimejaa utukufu wa BwanaMuumba wa ardhi na mbingu
Mbingu na nchi zote zimejaa utukufu wa BwanaMuumba wa ardhi na mbingu
Huyo dem boyMtu gani huyo
Bwana ndiye mchungaji wanguMbingu na nchi zote zimejaa utukufu wa Bwana
Wangu amesafiri janaBwana ndiye mchungaji wangu
Mshindi kumpata ni changamotoJumapili mchezo huu apatikane mshindi
wajanja?...msome comments mpaka mwisho maana mnaharibu mlolongo na utamu wa threadWatoto wa kizazi kipya ni wajanja
Washindi hatuwezi kuwa woteHaiwezekani kama vipi sisi sote ni washindi
Kuwa wote kwenye nafasi ya ushindi inawezekana, inategemea tu unamaliza kwenye nafasi gani..Washindi hatuwezi kuwa wote
Nafasi gani ishikwe na watu zaidi ya laki mbili mkuuKuwa wote kwenye nafasi ya ushindi inawezekana, inategemea tu unamaliza kwenye nafasi gani..
..Mkuu acha kuotaNafasi gani ishikwe na watu zaidi ya laki mbili mkuu