Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Kikatili nani alimuuaMawazo Alphonce alikufa kifo cha kikatili
Kikatili nani alimuuaMawazo Alphonce alikufa kifo cha kikatili
Sakayo ni dadake toxic wa mbali saana, sema yeye katangulia mjiniYangu macho...Toxic9 nae ni mkubwa sakayo
Binti Sakayo hana la kuongeza hapoYangu ni mengi sakayo nikianza kukusifia uzuri wako, naweza kesha mwaka mzima nikiandika wasifu wako binti sakayo
Hujalala we toxic9, au nikutimue ukasome kama gbefaSakayo anapenda ukubwa we muache tu, anna hujalala?
Serious on it!!! About what broda, soma ndugu si unajua tuna miadi ya kufikia malengoBasi ngoja niwakimbie kidogo tena umeniotea mkuu hadi nakuhis tofauti am very serious on it
Mie nalala, karibu nikupigie hadithi ili ulale sakayo kubwa la maaduiUnono silali sa hii mie
Wooote tutakuwa macho I guess na ww pia bado utakuwa machoJamani mlale salamaa mwayaa, nawapenda wooote
Mjini hahahahaahh nimejikuta nimecheka, umeshalala sakayo wangu??Sakayo ni dadake toxic wa mbali saana, sema yeye katangulia mjini
Wangu sakayo kaolewa?mbon anaaga mapema hiviMjini hahahahaahh nimejikuta nimecheka, umeshalala sakayo wangu??
Gbefa amelala usimsumbue, njoo nikupigie hadithi ulaleHujalala we toxic9, au nikutimue ukasome kama gbefa
Wote kwa ujumla wake tunakupenda pia,Jamani mlale salamaa mwayaa, nawapenda wooote
Macho kodo twin, goodnight pacha, muda umeenda sana, sema nawapenda sana my online friendsWooote tutakuwa macho I guess na ww pia bado utakuwa macho
Friends sasa mm nalala niwatakie usiku mwema nawapendaMacho kodo twin, goodnight pacha, muda umeenda sana, sema nawapenda sana my online friends
Online friends nikiwemo pacha tunakutakia usiku mwemaMacho kodo twin, goodnight pacha, muda umeenda sana, sema nawapenda sana my online friends
Mwema sana Mh Rais MagufuliOnline friends nikiwemo pacha tunakutakia usiku mwema
..Mfano Hauna maana kama huoniMwema sana Mh Rais Magufuli
Huoni Wa mwisho ndio mshindi...Mfano Hauna maana kama huoni
Macho wapi, nikiaga ndo usingizi.Wooote tutakuwa macho I guess na ww pia bado utakuwa macho