Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Mjini Kuna vya watu ivyo kuweni makini jmnUpepo mwanana huku ukiwa na umpendae, lakini mie Kivulini nitakaa na nyie wadogo zangu mlotangulia mjini
Mjini Kuna vya watu ivyo kuweni makini jmnUpepo mwanana huku ukiwa na umpendae, lakini mie Kivulini nitakaa na nyie wadogo zangu mlotangulia mjini
Mjini hakufai mdogo wangu kipenziUpepo mwanana huku ukiwa na umpendae, lakini mie Kivulini nitakaa na nyie wadogo zangu mlotangulia mjini
Jamani Aishah2016 umebadilisha avatarMjini Kuna vya watu ivyo kuweni makini jmn
Avatar Si unabadilisha anytime mkuu au ni ya ndaguJamani Aishah2016 umebadilisha avatar
Kipenzi cha nani, kwanza mdogo wako ni naniMjini hakufai mdogo wangu kipenzi
Avatar yenyewe ameweka mbaya, ngoja na mie nibadilisheJamani Aishah2016 umebadilisha avatar
Ndagu tafsiri yake nini mkuuAvatar Si unabadilisha anytime mkuu au ni ya ndagu
Nani amekufundisha kutokuwa na adabu hivyo dogo, umeolewa na mkuda ehh shemeji gani hakufundishi namna ya kuongea kwa adabu na wakubwa zako, naona unanitafutia kesiKipenzi cha nani, kwanza mdogo wako ni nani
Kesi tena jamanii, yaani kutangulia mjini ndo ushakuwa mkubwa, haya shkamooNani amekufundisha kutokuwa na adabu hivyo dogo, umeolewa na mkuda ehh shemeji gani hakufundishi namna ya kuongea kwa adabu na wakubwa zako, naona unanitafutia kesi
Shikamoo mpe mama hapo nyumbani, mimi unanipa kinafiki umekuwa sasa unaona umelingana na kaka yako, halafu nasikia umekuwa mtegeaji wa kazi mama analalamika sana, na mtoto wa mzee kipara nasikia anakumendea sana ngoja nirudi kijijiniKesi tena jamanii, yaani kutangulia mjini ndo ushakuwa mkubwa, haya shkamoo
Namba kuisoma ni mpaka mjini chiefKijijin hali sio nzuri bado tunaisoma namba
Kijijini huku ndo kwenyewe matunda kwa sanaShikamoo mpe mama hapo nyumbani, mimi unanipa kinafiki umekuwa sasa unaona umelingana na kaka yako, halafu nasikia umekuwa mtegeaji wa kazi mama analalamika sana, na mtoto wa mzee kipara nasikia anakumendea sana ngoja nirudi kijijini
Kijijn ukatafte nn banaa wee komaa na jijiShikamoo mpe mama hapo nyumbani, mimi unanipa kinafiki umekuwa sasa unaona umelingana na kaka yako, halafu nasikia umekuwa mtegeaji wa kazi mama analalamika sana, na mtoto wa mzee kipara nasikia anakumendea sana ngoja nirudi kijijini

Sana sana dar joto halifai jmnKijijini huku ndo kwenyewe matunda kwa sana
Sana tu hakikisha matunda unanitumia hasa maembe mdogo wanguKijijini huku ndo kwenyewe matunda kwa sana
Jmn ndo lugha gani hiyoSana sana dar joto halifai jmn
Mdogo wangu wa mjini unapenda maembe wewe au unataka tu niangukeSana tu hakikisha matunda unanitumia hasa maembe mdogo wangu