Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Wangu mie nalalaga mapema ili niwahi kuamkaMjini hahahahaahh nimejikuta nimecheka, umeshalala sakayo wangu??
Wangu sakayo kaolewa?mbon anaaga mapema hivi
Wangu mie nalalaga mapema ili niwahi kuamkaMjini hahahahaahh nimejikuta nimecheka, umeshalala sakayo wangu??
Wangu sakayo kaolewa?mbon anaaga mapema hivi
Hivi ndo kawaida yangu bhana, kesho majukumu niyawahiWangu sakayo kaolewa?mbon anaaga mapema hivi
Ulale Saa hii mie najenga taifaGbefa amelala usimsumbue, njoo nikupigie hadithi ulale
Pia nafurahi kusikia hivyoWote kwa ujumla wake tunakupenda pia,
Maadui sina mie, nampenda hata asiyenipenda. Uadui wa nini kwenye dunia ya MolaMie nalala, karibu nikupigie hadithi ili ulale sakayo kubwa la maadui
Mola ndo muweza wa yoteMaadui sina mie, nampenda hata asiyenipenda. Uadui wa nini kwenye dunia ya Mola
..Yote yanawezekana kwa Jina Lake HakikaMola ndo muweza wa yote
Hakika Nmewamic watu wangu wa nguvu..Yote yanawezekana kwa Jina Lake Hakika
Nguvu lazma uwe nayo, sio kwa kutususa huko mkuu. Heri ya mwaka mpyaHakika Nmewamic watu wangu wa nguvu
Mwaka mpya umeanza vizuri..Nguvu lazma uwe nayo, sio kwa kutususa huko mkuu. Heri ya mwaka mpya
Yote ya yote tulikumiss sana mamiiMola ndo muweza wa yote
Hakika ni seme tumshukuru mungu kwa kila jambo..Yote yanawezekana kwa Jina Lake Hakika
Vizuri kama uko poaMwaka mpya umeanza vizuri..
Jambo kaka wa mie, Umeamkaje lakinii!! Gbefa sijui amepitiwa na usingizi maana jana amepiga mno kitabuHakika ni seme tumshukuru mungu kwa kila jambo
Kitabu ndo msingi wa maarifa..tena ni vzr kukipigaJambo kaka wa mie, Umeamkaje lakinii!! Gbefa sijui amepitiwa na usingizi maana jana amepiga mno kitabu
Kukipiga ni muhimu saanaKitabu ndo msingi wa maarifa..tena ni vzr kukipiga
"sanaa"ni neno alilolisema kutia msisitizoKukipiga ni muhimu saana
Kitabu kitamkondesha ndugu yetuJambo kaka wa mie, Umeamkaje lakinii!! Gbefa sijui amepitiwa na usingizi maana jana amepiga mno kitabu