Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Ngada shindwa na ulegee
Ulegee kabisa wewe unaesifia haramuNgada shindwa na ulegee
Nianguke ili iweje mdogo wanguMdogo wangu wa mjini unapenda maembe wewe au unataka tu nianguke
Wangu ni upendo kwa kila mmoja wenuNianguke ili iweje mdogo wangu
Upepo mwanana wakati wa mapumzikoJuani nilazima umenyeke ili ukatumie kivulini huku ukipunga upepo
Mjini akili vinginevyo unaweza ishi miaka nenda miaka rudi uko pale paleUpepo mwanana huku ukiwa na umpendae, lakini mie Kivulini nitakaa na nyie wadogo zangu mlotangulia mjini
Mdogo wangu hujambo mwaka mpya umeanza na mambo mapya au unakamilisha ya zamaniNianguke ili iweje mdogo wangu
Mapumziko ulikuwa wapi jamani kipenzi chetu black womani isUpepo mwanana wakati wa mapumziko

Zaman hali ya hewa ilikua nzuri tofauti na sasa hata vyakula vilikuwepo vya kutoshaMdogo wangu hujambo mwaka mpya umeanza na mambo mapya au unakamilisha ya zamani
Pale kati sasa, acha usiguse.Mjini akili vinginevyo unaweza ishi miaka nenda miaka rudi uko pale pale
Zamani za kale wanawake walikuwa wana heshima sana kuliko zama hizi, nini kimewakumba wanawake wa kisasa,tuanze na wewe black womaniMdogo wangu hujambo mwaka mpya umeanza na mambo mapya au unakamilisha ya zamani
land where milk and honey flow.Jah Jah never stop blessing Tanzanians,Black woman is a queen, a beautiful, am proud my mama she is black woman in African land.
Blaki womani is back mjini alikuwa anakula bata SerengetiMapumziko ulikuwa wapi jamani kipenzi chetu black womani is![]()
Usiguse vitu ambavyo hujaruhusuwaPale kati sasa, acha usiguse.
Blaki womani wa zamani sana anawashangaa wa kisasa ujuaji umewazidiZamani za kale wanawake walikuwa wana heshima sana kuliko zama hizi, nini kimewakumba wanawake wa kisasa,tuanze na wewe black womani
Land ya Manyara inarutuba sanaBlack woman is a queen, a beautiful, am proud my mama she is black woman in African land.
Nani analeta kelele hapaKipenzi cha nani, kwanza mdogo wako ni nani
Sana sana mazingira yake yametulia na kupangika vizuri bila shaka itatunzwa vyema pia na wanajamii.Land ya Manyara inarutuba sana
Tanzania's are citizens from Tanzania country which found east Africa part near Indian ocean.land where milk and honey flow.Jah Jah never stop blessing Tanzanians,