Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Wakati kamchezo haka kameshika hatamu kila mmoja anataka kuwa wa mwisho, navyojuwa mshindi siku zote anakamata nafasi za kwanza ila hapo game limebadilika, basi mshindi ni wambuzi aliyeanzisha uzi huu
Huu mchezo auhitaji hasira ni lazima tu mshindi wa mwisho apatikane..
 
Back
Top Bottom