Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Mkuu mbona nipo sema wewe na wenzio kama Aisha2016, zamiluluni zamiluni, Ukhuty na wengine wengi ndio mlipotea me niliaga lakini kwa muda kutokana na mambo kufika shingoni heri ya mwaka mpya Dada sakayo am glad to see umeuvuka mwaka 2016 salama, mungu akuongoze na kukufungulia milango ya baraka mwaka huu, Siku moja nitakutembelea pm
Pm ni mida ya mchana au jioni kwa mida ya kidhungu, kaka gbefa asante kwa salamu za mwaka mpya nawe pia uwe na mwaka wenye baraka tele. Mie nilisahau kuaga ila nilikuwa nachungulia humu na kuondokaa, kidogo nilikuwa busy na wakwe. Sijui supermarket alipotelea wapi lakinii natumaini yuko salama nae kauona mwaka
 
Mwaka huu ni wa her na fanaka, ila jmn supermarket kafichwa wap??
 
Back
Top Bottom