Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Yuko wapi ndio swali gani nenda kaulizie bondeni S Africa sisi huyo hatumbaui, au mkuu ushawahi kununua jogoo mkubwa wa sikukuu ghafla akapotea au majirani wakafanya yao, halafu wakati unaangaika kumtafuta mtu anakuuliza hivi mama ake na huyo jogoo yuko wapi utajisikiaje kwa hili swali
 
Wakuu hatimae gbefa amerejea, habari za kuadimika mkuu na heri ya mwaka mpya
Mkuu mbona nipo sema wewe na wenzio kama Aisha2016, zamiluluni zamiluni, Ukhuty na wengine wengi ndio mlipotea me niliaga lakini kwa muda kutokana na mambo kufika shingoni heri ya mwaka mpya Dada sakayo am glad to see umeuvuka mwaka 2016 salama, mungu akuongoze na kukufungulia milango ya baraka mwaka huu, Siku moja nitakutembelea pm
 
Yuko wapi ndio swali gani nenda kaulizie bondeni S Africa sisi huyo hatumbaui, au mkuu ushawahi kununua jogoo mkubwa wa sikukuu ghafla akapotea au majirani wakafanya yao, halafu wakati unaangaika kumtafuta mtu anakuuliza hivi mama ake na huyo jogoo yuko wapi utajisikiaje kwa hili swali
Samaki na maji ni sawa binadamu na oxygen
 
Yuko wapi ndio swali gani nenda kaulizie bondeni S Africa sisi huyo hatumbaui, au mkuu ushawahi kununua jogoo mkubwa wa sikukuu ghafla akapotea au majirani wakafanya yao, halafu wakati unaangaika kumtafuta mtu anakuuliza hivi mama ake na huyo jogoo yuko wapi utajisikiaje kwa hili swali
Swali gumu ila umetoa majibu mepesi gbefa
 
Back
Top Bottom