Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,745
- 51,214
Kweli hapana sitaki, kijana atafaidi sanaMnakulana Tena??? Kituko n shemeji yangu jamani au unataka tufanye kweli
Kweli hapana sitaki, kijana atafaidi sanaMnakulana Tena??? Kituko n shemeji yangu jamani au unataka tufanye kweli
Sana atafaidi nini sasaKweli hapana sitaki, kijana atafaidi sana
Sasa ukitaka kujua utamu wa tunda lisiwe lako, alilopalilia mwenzio huwa ni tamu zaidiSana atafaidi nini sasa
Zaidi n kutafta majanga na Mali za watuSasa ukitaka kujua utamu wa tunda lisiwe lako, alilopalilia mwenzio huwa ni tamu zaidi
Watu wengi hupenda kutumia vilivyo vizuri na viwapendezavyo pamoja na wenzaoZaidi n kutafta majanga na Mali za watu
Wenzao wakamtonya kwamba anakula mazao ya watu na hakusikiaWatu wengi hupenda kutumia vilivyo vizuri na viwapendezavyo pamoja na wenzao
Kiswahili sanifuMnakulana ni neno la kiswahili?
Hakusikia kutokana na uzuri pamoja na mvuto usio simulika aliokuwa nao shemeji yule! Hakika alipigwa upofuWenzao wakamtonya kwamba anakula mazao ya watu na hakusikia
Upofu kwa shemejie? Huyo n kamalaya kachinichiniHakusikia kutokana na uzuri pamoja na mvuto usio simulika aliokuwa nao shemeji yule! Hakika alipigwa upofu
Chini chini kuna siri nyingi sana! Niligundua hata mume halisi ana michepuko lukukiUpofu kwa shemejie? Huyo n kamalaya kachinichini
Gani zaidi ya kedekede..lukuki lina maana gani??
Lukuki Haina kiwqngo maalum n sawa na kusema chungunzimaChini chini kuna siri nyingi sana! Niligundua hata mume halisi ana michepuko lukuki
Chungunzima ndio msamiati wa kwanza mamaa Facebook kuutumia mwaka 2017, happy new year.Lukuki Haina kiwqngo maalum n sawa na kusema chungunzima
Happy new year kwetu woooooote members wa jamiiforumsChungunzima ndio msamiati wa kwanza mamaa Facebook kuutumia mwaka 2017, happy new year.
Jamiiforum imetukutanisha pamoja, upendo wa dhati tuonyeshane, hakika tu wamojaHappy new year kwetu woooooote members wa jamiiforums
Wamoja na tushikamane kwa mikono miwili me naishukuru sana jf imenikutanisha na watu weeeeeeeeeeengi n wengi sana nawapenda wooooteJamiiforum imetukutanisha pamoja, upendo wa dhati tuonyeshane, hakika tu wamoja
Woote kwa umoja wetu huu, tupambane kuinua uchumi wa taifa letu Kwa kufahamishana fursa mbali mbali zilizopo katika jamiiWamoja na tushikamane kwa mikono miwili me naishukuru sana jf imenikutanisha na watu weeeeeeeeeeengi n wengi sana nawapenda woooote
Jamiii inasema pesa hazionekaniWoote kwa umoja wetu huu, tupambane kuinua uchumi wa taifa letu Kwa kufahamishana fursa mbali mbali zilizopo katika jamii
Hazionekani kwa wale wasiokuwa na vyanzo maalumu vya kuingiza kipato, hakika kama una vyanzo tofauti tofauti vya kukuingizia kipato! Maisha ya bongo ni matamu sanaJamiii inasema pesa hazionekani