Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Pm ni mida ya mchana au jioni kwa mida ya kidhungu, kaka gbefa asante kwa salamu za mwaka mpya nawe pia uwe na mwaka wenye baraka tele. Mie nilisahau kuaga ila nilikuwa nachungulia humu na kuondokaa, kidogo nilikuwa busy na wakwe. Sijui supermarket alipotelea wapi lakinii natumaini yuko salama nae kauona mwaka
Hakika mwaka huu utakuwa was baraka ndugu yangu Dada sakayo, supermarket bado anaishi ni jambo jema.. Jamani nwaka huu tujitahidi kufikia malengo yetu mwaka Jana ulikuwa mgumu kweli me sijafanikisha hata moja kwa kweli natumaini mambo yatakuwa mazuri kwa kila asomae huu ujumbe long live members NAD stay blessed this year we shall make it thank you guys all the best
 
All the best to you too my dearest brother, hakika Mungu ni mwaminifu atakutimizia mahitaji yako na amini mwaka huu ni mwaka uliokubalika mbele za Bwana na malengo yako yatatimia tu just have faith, endelea kubarikiwa
 
Back
Top Bottom