dem boyz
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 7,340
- 16,909
John...apo ndipo kwenye tatizo asingekuwa na jina yule faru ivi lingezuka hili balaa??taifa limempeleka wapi faru john?
John...apo ndipo kwenye tatizo asingekuwa na jina yule faru ivi lingezuka hili balaa??taifa limempeleka wapi faru john?
One love twin, stay blessedMothers themselves,teaching us howcç
Mother is key of our connection Toxic9 u are my twin bro,one love
Blessed n member wa jfOne love twin, stay blessed
Leo atakuja kwa furaha baada ya kukuonaSupermarket kubwa za Dar zilikuwa zimefurika sana leo, nahisi toxic9 amepotea njia leo
Leo atakuja kwa furaha baada ya kukuona
Pia Unga unateketeza vijanaKukuona wewe pia itakuwa furaha yake pia
Vijana wengi wanaangamiaPia Unga unateketeza vijana
wanaangamia kwa kukosa maarifaVijana wengi wanaangamia
Kusumbua watendaji mwanzoni mwa mwaka ni dalili za "usumbufu" mwaka mzima.Kansa yautumbuaj imeanza kusumbua
Supermarket amepotea kweli, jamani nilikumiss hata wewe pia umepotea duh, happy new year 2017 my dearBlessed n member wa jf
Blessed to have Kituko as my sheeeem and toxic9 as a friend
Nammis supermarket
Kukuona tu ni faraja, halafu mmejitokeza wote kwa pamoja, kituko na wewe mlikuwa wapi, au ndiyo hakuna ushemeji mnakulanaLeo atakuja kwa furaha baada ya kukuona
Vijana wanapenda sana starehePia Unga unateketeza vijana
Mnakulana ni neno la kiswahili?Kukuona tu ni faraja, halafu mmejitokeza wote kwa pamoja, kituko na wewe mlikuwa wapi, au ndiyo hakuna ushemeji mnakulana
Wanaangamia kwa madawa ya kulevya na kupenda anasa zisizo na faida kwaoVijana wengi wanaangamia
Maarifa ni chachu ya maendeleo, taifa bila nguvu kazi wenye maarifa basi si kitu, vilaza wataliangusha taifawanaangamia kwa kukosa maarifa
Dear happy new year na kwako pia me nipoooSupermarket amepotea kweli, jamani nilikumiss hata wewe pia umepotea duh, happy new year 2017 my dear
Mnakulana Tena??? Kituko n shemeji yangu jamani au unataka tufanye kweliKukuona tu ni faraja, halafu mmejitokeza wote kwa pamoja, kituko na wewe mlikuwa wapi, au ndiyo hakuna ushemeji mnakulana