Pesa ni shetani! Chaajabu inatumika katika nyumba za ibadaMakanisani ni ibada tu na sio pesa
Ibada imekuwa si ibada siku izi ni mwendo wa kipiga pesa za sadaka tu mapadre na mashehe mungu anawaonaPesa ni shetani! Chaajabu inatumika katika nyumba za ibada
Anawaona ndani na nje, kwa yote wayatendayo wasiporudi Sodoma na gomora, hata ya nuhu Maji yatawaangamizaIbada imekuwa si ibada siku izi ni mwendo wa kipiga pesa za sadaka tu mapadre na mashehe mungu anawaona
Yatawaangamiza kwa sababu wamekosa maarifa, wanduguuu Mmeamkaje humuAnawaona ndani na nje, kwa yote wayatendayo wasiporudi Sodoma na gomora, hata ya nuhu Maji yatawaangamiza
Hawajaamka mpaka sa hii huo ni uvivuHumu wengine tumeamka salama Alhamdulillah na wengine bado hawajaamka
Uvivu wapi mkuu tupo mapumziko mafupiHawajaamka mpaka sa hii huo ni uvivu
Mapumziko mafupi ya nini, siku kuu kwisha hebu mkafanye kaziUvivu wapi mkuu tupo mapumziko mafupi
Kazi zetu tumejiajiri mkuu nitaenda tuh wacha nipumzike kidogoMapumziko mafupi ya nini, siku kuu kwisha hebu mkafanye kazi
Kidogo hicho ndo charudisha maendeleo nyumaKazi zetu tumejiajiri mkuu nitaenda tuh wacha nipumzike kidogo