Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Kabisa kabisa mtu unamtumbua siku ya January 1? Huoni kama unamtengenezea magonjwa ya moyo? Si angesubiri hata kesho asubuh na mapema.
 

Attachments

  • 1483279542864.jpg
    1483279542864.jpg
    42.1 KB · Views: 24
Umeme kitu gani kwani? Naiomba serikali iongezee mpaka ifikie 28.5% ili wananchi waondoe akili za hovyo za kuchagua ccm kila Mara. Hakuna namna naona hata aliyetumhuliwa kaonewa.
 
Baba in the kitchen mie naomba mchemsho wa ndizi na samaki
Samaki wana virutubisho vingi sana kwa afya ya mwili wa binadamu , epuka kula sana red meat , kitimoto nk, kula kitu kwa faida pia, karibu sana ila uje na wine tahadhari binti sakayo
 
Udhaifu wakiongozi nipale anapo fanya uteuzi nakuutengua bila sababu za msingi
 
Back
Top Bottom