Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Kabisa kabisa mtu unamtumbua siku ya January 1? Huoni kama unamtengenezea magonjwa ya moyo? Si angesubiri hata kesho asubuh na mapema.
Mapema kabla hakijapoa mheshimiwa JPM anaenda pale anapiga chenga anampita beki nambari 3 anasogea kidogo anaruka tikitaka chali gooooooooal anafunga goli zuri sana ewura 0 huku JPM anaongoza goli moja
 
Back
Top Bottom