Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Wakuu hatimae gbefa amerejea, habari za kuadimika mkuu na heri ya mwaka mpyaUchwara mtupu mwaka Jana hebu tuone mwaka huu wakuu
Wakuu hatimae gbefa amerejea, habari za kuadimika mkuu na heri ya mwaka mpyaUchwara mtupu mwaka Jana hebu tuone mwaka huu wakuu
Mwaka mpya ila kila kitu cha mwaka Jana, Mimi upya wake wala siuoniJana tu ndo tumeumaliza eti leo watu wamesahau mpute mpute wa uchumi ulivyotupumulia mpk wanaalikana kukesha baa kisa mwaka mpya
Baba in the kitchen mie naomba mchemsho wa ndizi na samakiChakula gani unapenda leo nikupikie ndizi mchemsho samaki kodogo, wali maharage nazi, wali njegere rojo, wali maini, kuku choma na chips, pilau kuku, mimi naingia jikoni mwenyewe leo, mwaka tuanze hivi baba in the kitchen
Siuoni ule mwaka uliopita sijui huwa inahifadhiwa wapiMwaka mpya ila kila kitu cha mwaka Jana, Mimi upya wake wala siuoni
Wapi kwenye makumbusho tukajaribu kuuliziaSiuoni ule mwaka uliopita sijui huwa inahifadhiwa wapi
Wapi ntauona coz hata mm nautafuta mwaka jana kwa udi na uvumbaSiuoni ule mwaka uliopita sijui huwa inahifadhiwa wapi
Jpm amewashauri watoe picha za wadaiwa sugu wa bodi, wahusika fugeni ndevuUDI na uvumba ili ugundue nini umemsahau Jpm
Jpm kazingua gbefa sina hamu naeUDI na uvumba ili ugundue nini umemsahau Jpm
Mshindi atakuwa yeye boya tu yuleNae kawa wa mwisho lakini sio mshindi
Yule aliyenifanya nilie hatimae nimemsameheMshindi atakuwa yeye boya tu yule
..kapata nini mtafutaji??Mambo mapya mazuri usiyafanyie pupa utapata tu wakati ukifika kuwa mvumulivu mtafutaji achoki akichoka jua kashapata
Seriously iyo ni kweliMtafutaji anayepata wakati huu Jpm ni the best kuliko yule aliyepata wakati wa Jk seriously
Kweli kabisaSeriously iyo ni kweli