dem boyz
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 7,340
- 16,909
Pia huu unaonekana utakuwa hai mpk 2018,19,20Inshaalah ndivyo tunavyoamini pia
Pia huu unaonekana utakuwa hai mpk 2018,19,20Inshaalah ndivyo tunavyoamini pia
Wapi sijuwi pakuanzia kuwashukuru wapendwa wote wadau wote wa jukwaa leti hili pendwa kwa juhudi za dhati kwenye ushirikiano wenu katika nyanja mbalimbali kiushauri nk toka 2016 na sasa tupo 2017 tumshukuru mungu kwa kila jambo amenWote tunashukuru,huku nilipo umeme upo pia. Sweetheart wangu yuko wapi
Tumeungana sote kwa pamoja kwa kushikana mikono huku tukimshukuru mungu kwa mema aliyotufanyia 2016 mungu ni mwingi wa rehema, happy new year 2017Wote tupo mwangazani bhana, mioyo yetu huonana na kufurahikia New year, japo umbali tulonao lakini tumeungana...!!
Romantic just as you my dearest oneMwaka 2017 utapelekwa sehemu very romantic...
Niliyorithi kwa mababu zetu ni kuwa na busara, hekima na upendo kwa kila mtu it doesnt matter you are poor, rich, bagger, disabled nk moyo wangu hauchagui wote nawapenda, heri ya mwaka mpya watu wote humu ndaniRomantic niachie mie, hiyo ni taalum yangu niliyorithi.....
Ndugu heri ya mwaka mpyaNa ww pia ndugu
The same to you happy new year 2017
Mwaka mpya 2017 nikutakie kila la heri sakayoNdugu hongera kwa kuuona mwaka
2017 toxic9 ndo unaonekana 2016 masaa ya mwisho mwisho ulikuwa wapi bob?The same to you happy new year 2017
Mwaka gani vile nilikuwaga kabinti..Bob-Marley alikufa mwaka gani??
Sakayo mie nakutakia heri ya mwaka wenye mafanikio na fanaka tele toxic9 rafiki wa ukweeli, penda weweMwaka mpya 2017 nikutakie kila la heri sakayo
My dearest one umenisusaaaaRomantic just as you my dearest one
Bob nilikuwa mkesha nikiwaombea na nikiombea taifa zima amani, upendo na kwa ujumla wake katika hali ta kiuchumi, kisiasa nk, viva Tanzania2017 toxic9 ndo unaonekana 2016 masaa ya mwisho mwisho ulikuwa wapi bob?
Tanzania, nakutakia Kheri ya mwaka mpya na kuyaona ya mwaka huu pia.Bob nilikuwa mkesha nikiwaombe na nikiombea taifa zima amani, upendo na kwa ujumla wake katika hali ta kiuchumi, kisiasa nk, viva Tanzania
Wewe pia nakupenda sana wangu sakayo, mwaka tumeukaribisha tuliombee taifa amani na uchumi viimarike 2017 viva peaceSakayo mie nakutakia heri ya mwaka wenye mafanikio na fanaka tele toxic9 rafiki wa ukweeli, penda wewe
Umenisusa hata wewe dear, jana umenikimbia baada ya kuona naenda mkesha wa maombi yani wewe suburi tu dawa yako ipo jikoniMy dearest one umenisusaaaa
Jikoni ni kwaajili ya chakulaUmenisusa hata wewe dear, jana umenikimbia baada ya kuona naenda mkesha wa maombi yani wewe suburi tu dawa yako ipo jikoni
Kabinti kadogo dogo sahivi you are already attain maturity age 2017, unafaa kuanzisha familia yako sasa ukaitwa mama mpendwa wanguMwaka gani vile nilikuwaga kabinti
Chakula gani unapenda leo nikupikie ndizi mchemsho samaki kodogo, wali maharage nazi, wali njegere rojo, wali maini, kuku choma na chipsJikoni ni kwaajili ya chakula
, pilau kuku, mimi naingia jikoni mwenyewe leo, mwaka tuanze hivi baba in the kitchen