dem boyz
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 7,340
- 16,909
Limewaandama coz inaonekana wanaishadadia sana 2017 pole yaoCorner ya Clock tower kumetokea ajali....Wahanga hawatasherehekea ujio wa mwaka mpya balaa limewaandama...
Limewaandama coz inaonekana wanaishadadia sana 2017 pole yaoCorner ya Clock tower kumetokea ajali....Wahanga hawatasherehekea ujio wa mwaka mpya balaa limewaandama...
Yao ilipo ni juu zaidi ya kiwango !!Limewaandama coz inaonekana wanaishadadia sana 2017 pole yao
Kiwango kikizidi sana matokeo yake ndo ajaliYao ilipo ni juu zaidi ya kiwango !!
Ajali ilyotokea ni wazi kbs ulevi ulihusika......Kiwango kikizidi sana matokeo yake ndo ajali
Ulihisika kwa kiasi kikubwa kusherehesha 2017 happy new year wadauAjali ilyotokea ni wazi kbs ulevi ulihusika......
Wadau wapo bandarini na ufukweni kusherehekea mwaka mpya...Ulihisika kwa kiasi kikubwa kusherehesha 2017 happy new year wadau
Mwaka mpya kwenu wote. 2017 ikawe yenye shuhuda nzuri kwetu sote na Mungu awe nasiWadau wapo bandarini na ufukweni kusherehekea mwaka mpya...
Mungu sijui kawapeleka wapi wadau wengine humu siwaoni time hii sijui wanafanya niniNasi tumeona mwaka mpya tumshukuru mungu
Nini kiwawekee hadi saa hii..ikiwa umeme umekata na mwaka mpya umeingia kizani.....?!!Mungu sijui kawapeleka wapi wadau wengine humu siwaoni time hii sijui wanafanya nini
Kizani ni huko tu uliko sisi umeme upo na ninajiandaa kulala nilitaka niuone mwaka ndio nilale nawapenda woteNini kiwawekee hadi saa hii..ikiwa umeme umekata na mwaka mpya umeingia kizani.....?!!
Wote tunashukuru,huku nilipo umeme upo pia. Sweetheart wangu yuko wapiKizani ni huko tu uliko sisi umeme upo na ninajiandaa kulala nilitaka niuone mwaka ndio nilale nawapenda wote
Wote tupo mwangazani bhana, mioyo yetu huonana na kufurahikia New year, japo umbali tulonao lakini tumeungana...!!Kizani ni huko tu uliko sisi umeme upo na ninajiandaa kulala nilitaka niuone mwaka ndio nilale nawapenda wote
Wapi utanipeleke tukasherehekee ujio wa mwaka 2017 ?Wote tunashukuru,huku nilipo umeme upo pia. Sweetheart wangu yuko wapi
Mwaka 2017 utapelekwa sehemu very romantic...Wapi utanipeleke tukasherehekee ujio wa mwaka 2017 ?
Very romantic than titanic and atlanticMwaka 2017 utapelekwa sehemu very romantic...
Romantic niachie mie, hiyo ni taalum yangu niliyorithi.....Mwaka 2017 utapelekwa sehemu very romantic...
Niliyorithi mimi ni ukarimuRomantic niachie mie, hiyo ni taalum yangu niliyorithi.....
Ukarimu wako utashinda uihsani na fadhila zangu..?Niliyorithi mimi ni ukarimu
Niliyorithi mimi ni busara na upole tazama sherehe za mwaka mpya bado mbichiiii lkn nimetulia tu home nawaza mwaka mpya nianze na kuongeza kiwanja cha tatu au nyumba ya piliRomantic niachie mie, hiyo ni taalum yangu niliyorithi.....