antidot
Member
- Dec 30, 2016
- 96
- 195
Ukarimu huu nitavirithisha vizazi vyanguNiliyorithi mimi ni ukarimu
Ukarimu huu nitavirithisha vizazi vyanguNiliyorithi mimi ni ukarimu
Zangu alizonijalia Mwenyezi MunguUkarimu wako utashinda uihsani na fadhila zangu..?
Mungu hujaalia viumbe vyake utukufu....Zangu alizonijalia Mwenyezi Mungu
Mungu huyu aliyeumba mbingu na dunia hii na vyote vilivyomo ndani yakeZangu alizonijalia Mwenyezi Mungu
Ndani yake kuna mema na shari, na kipimo chake ni Imani.....Mungu huyu aliyeumba mbingu na dunia hii na vyote vilivyomo ndani yake
Imani yako ikiwa ya kutetereka , hauwezi simamia yale unayoamini hivyo lazima utaishi kwa kufuata matakwa ya watu Fulani......Ndani yake kuna mema na shari, na kipimo chake ni Imani.....
Wapi zaidi ya maeneo ya nyumbani tuuNinayo sababu ya kusema nakukubali mtu wangu, maana sakayo ni mtu wa watu, ila sakayo yani wewe kiboko siku zote najuwa wewe ni ME jamani, nimefurahi kujuwa jinsia yako, mwaka mpya unaukaribishia wapi???
Nyumbani tuu hata kuwe kichakaniWapi zaidi ya maeneo ya nyumbani tuu
Fulani alinidokezea ile siri ya mbunge mwenye kashfa.....Imani yako ikiwa ya kutetereka , hauwezi simamia yale unayoamini hivyo lazima utaishi kwa kufuata matakwa ya watu Fulani......
Kashfa ipi, heri ya mwaka mpya kwenu wote, Mungu ni mwaminifu katuvusha salamaFulani alinidokezea ile siri ya mbunge mwenye kashfa.....
Salama yako kuvuka ng'ambo mtoni.....kuna mafuriko....Kashfa ipi, heri ya mwaka mpya kwenu wote, Mungu ni mwaminifu katuvusha salama
Mafuriko ni balaa lingine mkuuSalama yako kuvuka ng'ambo mtoni.....kuna mafuriko....
Kashfa zake ziko lukuki, kuzitabainisha nyoyo za watu zitakereka, hasa wale walio na maslahi ya karibu na uongozi wake, domo langu la ugali, kubwatuka ya watu tapigwa mkuki wa domo utokee nyuma...Fulani alinidokezea ile siri ya mbunge mwenye kashfa.....
..mafuriko kwishnei nduguSalama yako kuvuka ng'ambo mtoni.....kuna mafuriko....
Kichakani ni sehemu hatari ujue, usipende kukaa mwenye kichaka nduguNyumbani tuu hata kuwe kichakani
Ndugu yangu kwa kunyonya ziwa moja..mafuriko kwishnei ndugu
..moja jumlisha moja ni mbiliNdugu yangu kwa kunyonya ziwa moja
Mbili ni namba ya mwisho ya simu ya mtu fulani..moja jumlisha moja ni mbili
Mbili zinajulikana kama pair au jozi au wenza au dabo(double) au pacha......moja jumlisha moja ni mbili
Pacha wanaweza kufanana au wasifanane kabisaaMbili zinajulikana kama pair au jozi au wenza au dabo(double) au pacha....