antidot
Member
- Dec 30, 2016
- 96
- 195
Kwenye kichaka ndugu yangu ni bora maana sumu ya nyoka ng'e na wadudu wengine haizidi ukali wa sumu ya mwanadamuKichakani ni sehemu hatari ujue, usipende kukaa mwenye kichaka ndugu
Kwenye kichaka ndugu yangu ni bora maana sumu ya nyoka ng'e na wadudu wengine haizidi ukali wa sumu ya mwanadamuKichakani ni sehemu hatari ujue, usipende kukaa mwenye kichaka ndugu
..Fulani na Fulani hawakufika mwaka huuMbili ni namba ya mwisho ya simu ya mtu fulani
..pacha huwa zinaweza kuwa zaidi ya mbiliMbili zinajulikana kama pair au jozi au wenza au dabo(double) au pacha....
Zaidi ya mbili hivi kumbe ni pacha mkuu..pacha huwa zinaweza kuwa zaidi ya mbili
..mkuu pacha maana'ke zina mfano hatuongelei idadiZaidi ya mbili hivi kumbe ni pacha mkuu
Idadi yaweza kuwa yoyote sio,mradi zifanane!!..mkuu pacha maana'ke zina mfano hatuongelei idadi
..zifanane tu basiIdadi yaweza kuwa yoyote sio,mradi zifanane!!
Basi ndo ukawa Mwanzo wa mwaka mpya..zifanane tu basi
Mwaka mpya watu wote wamelalaBasi ndo ukawa Mwanzo wa mwaka mpya
Wamelala nmebaki peke angu hakika mimi ndio mshindi..Mwaka mpya watu wote wamelala
Mshindi mwingine atapatikana.. Cku Kama hii Mwaka ujao..Wamelala nmebaki peke angu hakika mimi ndio mshindi..
..ujao mwaka hii thread haitakuepo hakikaMshindi mwingine atapatikana.. Cku Kama hii Mwaka ujao..
Hakika itaendelea kuwepo hii thread,habarin za mwaka mpya 2017 tushukuru mungu kwa kuuona mwaka wengine ni wagonjwa na wengine wametangulia mbele ya haki,happy new year..ujao mwaka hii thread haitakuepo hakika
Na ww pia ndugu
Ndugu hongera kwa kuuona mwakaNa ww pia ndugu
Mwaka huu uwe mwaka wa baraka kwa Wana jf wote inshaalahNdugu hongera kwa kuuona mwaka
Inshaalah ndivyo tunavyoamini piaMwaka huu uwe mwaka wa baraka kwa Wana jf wote inshaalah