mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
Nizipende zitanipeleka kuzimuPesa pesa sabuni ya roho, jidanganye usipende pesa acha mimi nizipende
Nizipende zitanipeleka kuzimuPesa pesa sabuni ya roho, jidanganye usipende pesa acha mimi nizipende
Mahaba siyatambuiHaswaaaa unajuwa mengi sana sekta ya mahaba
Buanah kiswahili au kitanga TangaBanah au Bwana au buanah
Tanga Kuna jotoBuanah kiswahili au kitanga Tanga
Mingine itafanikiwa na mingine itafail, ni bora kuwa nayo mingiKitu ninachotamani kuanza kwa mwaka mpya na kuweka mikakati mingine
Joto Dar nalo lipoTanga Kuna joto
Mingi sana inaweza kukusababisha usifanikiwe bora kuwa na mipango michache kwanzaMingine itafanikiwa na mingine itafail, ni bora kuwa nayo mingi
Lipo pia huku manyara hata majani yamekauka kwa ukameJoto Dar nalo lipo
Joto sana kipindi hiki hata dalili za mvua hakunaTanga Kuna joto
Makaburini kunatisha hasa nyakati za usikuSiogopi kutembea makaburini
Wimbo wa darasa mzuriUjue manfongo kaimba ukuda yani hakunaga ushemiji tunakulaga tu... Napenda mdundo tu ila sio maudhui ya wimbo
Mzuri SanaWimbo wa darasa mzuri
Hicho kiasi kinapimwa vipiKwako kupenda ni rahisi kiasi hicho?
Tena inatakiwa kuwahiOfsini tena![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kuwahi kufika kileleni imekuwa tatizo kwa kizaz cha sasaTena inatakiwa kuwahi
Sikukuu inamaliza sana pesaUlivaa kimini siku ya sikukuu?
Lake Victoria lina ukubwa gani
year imekata ila mnikumbushe niwasambazie kadi za mwalikoInshallah God is great, atatufikisha new year