Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,368
zawadi yako ilikuwa nzuri sana, mpaka leo bado iko kwenye box lakeHukipendi kile nilichokupatia kama zawadi?
zawadi yako ilikuwa nzuri sana, mpaka leo bado iko kwenye box lakeHukipendi kile nilichokupatia kama zawadi?
Namuogopa hata mimiNdani kuna mtu namuogoa
Nguo gani za ndani?Huyo usimsikilize nilivaa nguo
Mimi siogopiNamuogopa hata mimi
Nguo gani ulivaaHuyo usimsikilize nilivaa nguo
Nguo gani ulivaa
Lake Victoria lina ukubwa ganizawadi yako ilikuwa nzuri sana, mpaka leo bado iko kwenye box lake
Mimi ninakusubiri uingie nikufateNamuogopa hata mimi
Ndani?? Hapana nilivaa dera na mtandio wakeNguo gani za ndani?
Siogopi kutembea makaburiniMimi siogopi
Ulivaa sare ya harusi?Nguo gani ulivaa
Nini? Kaa chini utafakari upya.Hasimamishi yeye hanithi nini?
Mimi ninakusubiri uingie nikufate
Siogopi kutembea makaburini
Ulivaa sare ya harusi?
Upya wake utatoka wapi wakati keshazoeaNini? Hebu kaa chini ujipange upya.