Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Mingi sana inaweza kukusababisha usifanikiwe bora kuwa na mipango michache kwanza
Kwanza lazima ujue vipaumbele ndio upange hivyo vipaumbele, kuwa na vingi ni vizuri, kwani unakiwa na option ikiwa baadhi itafail
 
Mkuu nipe gwala wewe wewe ndiyo mchizi wangu, nipe gwala tusiwaharibie mamaafacebook, kituko, atug, blacki womani, gbefa, minji, supermarket, Ukhuty,a.rahabu wote ni wachizi wetu
Wachizi wetu kweli toxic9
 
Kwema tena humu ndugu zangu?
Yule jamaa aliyepigwa mkuki Jana alitembelewa hospital anaendelea vizur kabisa na muda wowote ataruhusiwa kurudi Home
 
Kwema tena humu ndugu zangu?
Yule jamaa aliyepigwa mkuki Jana alitembelewa hospital anaendelea vizur kabisa na muda wowote ataruhusiwa kurudi Home
b6766988ed27bace16e89ff100969446.jpg
 
Msaada nadhani atakuwa alipata japo kidogo toka kwako!
 
Mwingine sijui utakuwa wa wapi dah haya mengine siyo ya kudiscuss..mtu sindano za anopheles tu unazinunulia unazinunulia rungu na chandarua chenye dawa juu yake..je mkuki wa koo???
 
Home hali ngumu bora aendelee kuzuga tu huko huko hospitali labda anaweza pata sh mbili tatu za msaada
Msaada akingoja basi atangoja sana, angalau hata profesa jay mheshimiwa alienda kumtembelea na kumpa moyo, bongo noma sana
 
Back
Top Bottom