Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Niitieni atug wangu jamani, barafu wa moyo wangu nampenda ila simjui jamani sijuwi anataka mambo ya suprise siku ya ndoa my darling wangu, karibu kikombe cha kahawa
Kikombe cha kahawa ntakichukua usisahau kunipatia na kashata darling wa mie... Nipo hapa
 
Hapa nimekuona basi mimi nipo hoi dear nimefurahi kukuona sanaaaa, vipi baby nawe ni mdaiwa sugu?? Hapo kwa madeni baby sitaweza kukusaidia kwa kweli acha tu wakupeleke mahakamani
 
Mahakamani sipelekwi maana nawapatia chao
 
Back
Top Bottom