Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Noma sana coz hali ya kiuchumi ni tete kila mtu anatafuta pa kukimbilia.. Mm cjui nielekee wapMsaada akingoja basi atangoja sana, angalau hata profesa jay mheshimiwa alienda kumtembelea na kumpa moyo, bongo noma sana