mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
Siyo wewe bwanaMbona nipo hapa jamani au huyo bbc hunijui siyo?






Siyo wewe bwanaMbona nipo hapa jamani au huyo bbc hunijui siyo?






Mkuu natambua unataniaTena tulalane sasa
Natania tu mkuu
Hicho ulichosema ndio kipimo cha mapenzi?Kwako kupenda ni rahisi kiasi hicho?
Ofisini Sina ham nakoMkuu kumbe tayari ni tarehe 27 ngoja niende ofisini
Bwana wako tayari ila ungesema siyo mimi bhana hapo ungenikatishia matumaini ya kuwa na wewe kama wapenzi.Siyo wewe bwana![]()
Wapenzi wanaokutana mitandaoni unawamini wanafikia malengo?Bwana wako tayari ila ungesema siyo mimi bhana hapo ungenikatishia matumaini ya kuwa na wewe kama wapenzi.
Time is moneyTena, ofisini ndiyo, hapa ni part time!
Serious ndiyo kwani vipi mamaafacebook huniamini eti eeeeeeMftarajiwe niwe mie!Are you serious???
Nyingine ipi?Serious ndiyo kwani vipi mamaafacebook huniamini eti eeeeee
Sasa kwa taarifa yako nakupenda na nakuhitaji pia kwa namna moja ama nyingine
Malengo ndiyo wanafikiaga sana tu maana watu waliyomo kwenye mitandao na waliyoko mtaani na wale wale tu hakuna utofauti mkuuWapenzi wanaokutana mitandaoni unawamini wanafikia malengo?
Rafiki yangu nimekuweka ktk list yanguMalengo ndiyo wanafikiaga sana tu maana watu waliyomo kwenye mitandao na waliyoko mtaani na wale wale tu hakuna utofauti mkuu
Naamini sana tu kuwa popote pale penye mukusanyiko wa watu wa jinsia tofauti unaweza kupata mpenzi,rafiki.
Ipi tena ile ya kukuendea kwa sangomaNyingine ipi?
Kwa sangoma ukienda usinizoeee tenIpi tena ile ya kukuendea kwa sangoma
Usiku mwema na kwako pia mkuuNyingine yenye makosa, T 1990 ELY nilitegemea ungeanza na "money" lakini naona umemfuata zaidi mamaafacebook II, usiku mwema.
Yangu naijua mwenyewe tuRafiki yangu nimekuweka ktk list yangu
Money is my favorite thingTime is money