kidaganda
JF-Expert Member
- Aug 26, 2013
- 2,997
- 2,577
Halisi na sio fake.Atakavyo ni vingi mno kuliko hali halisi.....!!
Halisi na sio fake.Atakavyo ni vingi mno kuliko hali halisi.....!!
Fake people I hate themHalisi na sio fake.
Tarh 24 ahh mkuu, mbona tunakaribisha kama sitaki nataka hiyo Beach part mbona watu wazito hatujaambiwa mambo kimya kimya??Wenzako wanajiandaa kwenda beach party trh 24
Mchumba wako anaitwa nani, msalimie sana mwambie mkuu hapa nampa hi!24 ni miaka ya wangu mchumba
Kapotezea kali mtini kama yule kijana wa mbeya aliyemuacha bibi harusu akisubiri kurudi kwa bwana, ila wewe black woman si substitute hofu ya nini mkuuMchumba amekula mahari yangu na kapotezea..... !!!
Atakavyo yeye bali sio mume wake hiyo lazima ndoa isidumu.Kapotezea labda huna vigezo atakavyo
Them fake people they can fool you but they cant fool you all the timeFake people I hate them
All the time God is goodThem fake people they can fool you but they cant fool you all the time
Atakavyo sikia mke anatarajia kusafiri x mass hapo ndipo furaha imejaa moyoni mpaka inamwagikaKapotezea labda huna vigezo atakavyo
Inamwagika yote hapo chini itoe uiingize ndaniAtakavyo sikia mke anatarajia kusafiri x mass hapo ndipo furaha imejaa moyoni mpaka inamwagika![]()
Ndani kuna mambo mengiInamwagika yote hapo chini itoe uiingize ndani
Imejificha wapi tuweze kwenda kuivumbuaMchana na water melonkulikoni? Kuna siri hapo imejificha
GT tu ndio wanaweza kuendeleza uzi huuYao sio kama yetu Jf, mitandao mingine hawana protocol, regulations, policy huku ukitukana tu unachezea ban hapa ni kwa greater thinkers tu
Kazi ipo pale ambapo anaelewa halafu anajitoa ufahamuMapema leo nimeanza siku na makunyanzi ya matrafik nimejikuta trafik ameninang'ania na nimepoteza muda mwingi kumuelewesha mahala sijakosea, kazi ipo
Mengi nayajua kuhusu huyu mpenzi wangu mpya.Ndani kuna mambo mengi
Kupenda usipopendwa ni balaa tupuHumpendi kwasababu gani... Raha kupendwa kuliko kupenda
Kuivumbua ni vigumu sana maana huku niliko mimi sina hela kabisa na sikukuu zimekaribia.Imejificha wapi tuweze kwenda kuivumbua
Bora Mgeni mwenye zawadi kuliko yule aliye mikono mitupuKukaribisha wageni ni jambo bora
Hailambwi sahani tupu piaMitupu mikono hailambwi