Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,785
- 51,360
Maisha matamu sana hasa ukimpenda anayekupenda, karaha ni pale anayekupenda humpendiDuniani pana raha sana kuishi wapo walimwengu wachache wanaoharibu utamu wa maisha
Maisha matamu sana hasa ukimpenda anayekupenda, karaha ni pale anayekupenda humpendiDuniani pana raha sana kuishi wapo walimwengu wachache wanaoharibu utamu wa maisha
Mamba ni amphibia na ana double life je unalijuwa hilo..training Mimi ntakufanyia bure kabisa .mpaka ujue kuogelea kama mamba
Gharama zote kuanzia shoping, dinner nk ntakulipia twende zetu outMamba ni mkali... Vya bure gharama
Humpendi kwasababu gani... Raha kupendwa kuliko kupendaMaisha matamu sana hasa ukimpenda anayekupenda, karaha ni pale anayekupenda humpendi
Kupenda unajuwa lakini atug, 6*6 upo vizuri, natafuta trainer atakaye nifundisha nikafundikikaHumpendi kwasababu gani... Raha kupendwa kuliko kupenda
Nikafundikika naamini ni kipaji cha kuzaliwa nacho.... Mambo ya 6*6 sifundishiKupenda unajuwa lakini atug, 6*6 upo vizuri, natafuta trainer atakaye nifundisha nikafundikika
sifindishi mtu uogaNikafundikika naamini ni kipaji cha kuzaliwa nacho.... Mambo ya 6*6 sifundishi
Uoga wako ndio umaskin wakosifindishi mtu uoga
Wako mwenyeweUoga wako ndio umaskin wako
wako pia matajiri waoga.maisha Hahaha formulaUoga wako ndio umaskin wako
Sifundishi wanafunzi wa siku hizi kwa kuwa wengi wao ni vilazaNikafundikika naamini ni kipaji cha kuzaliwa nacho.... Mambo ya 6*6 sifundishi
mwenyewe sakayo unikaribishe basi pilauWako mwenyewe
Sifundishi kuogelea pia kama hutaki kufundisha wenzakoNikafundikika naamini ni kipaji cha kuzaliwa nacho.... Mambo ya 6*6 sifundishi
Wenzako wanajiandaa kwenda beach party trh 24Sifundishi kuogelea pia kama hutaki kufundisha wenzako
tarehe 24 twende wote basiWenzako wanajiandaa kwenda beach party trh 24
Mchumba amekula mahari yangu na kapotezea..... !!!24 ni miaka ya wangu mchumba
Kapotezea labda huna vigezo atakavyoMchumba amekula mahari yangu na kapotezea..... !!!
Atakavyo ni vingi mno kuliko hali halisi.....!!Kapotezea labda huna vigezo atakavyo