Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Sikukuu zimekaribia na hata mwaliko sijapata watu wa thread hii wachoyoKuivumbua ni vigumu sana maana huku niliko mimi sina hela kabisa na sikukuu zimekaribia.
Sikukuu zimekaribia na hata mwaliko sijapata watu wa thread hii wachoyoKuivumbua ni vigumu sana maana huku niliko mimi sina hela kabisa na sikukuu zimekaribia.
Balaa tupu maana utajikuta unautesa moyo wako... Bora kupendwaKupenda usipopendwa ni balaa tupu
Mikono mitupu hailambwi msema wa wahengaBora Mgeni mwenye zawadi kuliko yule aliye mikono mitupu
Pia waweza kulamba iliyomalizika chakula ukaambulia mchuziHailambwi sahani tupu pia
Kuivumbua me and you...Imejificha wapi tuweze kwenda kuivumbua
You and me till deathKuivumbua me and you...
Huu uzi upo so funy and entertainingGT tu ndio wanaweza kuendeleza uzi huu
Ufahamu unatiji sana kwenye kufanya maamuziKazi ipo pale ambapo anaelewa halafu anajitoa ufahamu
Wachoyo wapi Blaki Womani wakati jana nilikukaribisha.Sikukuu zimekaribia na hata mwaliko sijapata watu wa thread hii wachoyo
Mpya kwa maana yeye mpenzi wako ni mgeni na mapenzi amaMengi nayajua kuhusu huyu mpenzi wangu mpya.
Maamuzi magumu sana kuzama chumvini/uvinzaUfahamu unatiji sana kwenye kufanya maamuzi
Wachoyo sana, tuanze mimi na wewe kutokomeza falsafa ya uchoyo humu ndani. Je wewe utanipa nini mimi nikikupa upendoSikukuu zimekaribia na hata mwaliko sijapata watu wa thread hii wachoyo
Death only will set us apart, upendo eternallyYou and me till death
Upendo eternally ndo kauli mbiu yetuDeath only will set us apart, upendo eternally
Chumvini/uvinza kwa mdada alikuwa msafi sioni mbaya nitampa akitakacho kwa upendo mnyoofu, chumvini ni sehemu ya mapenzi na ukoleza penzi na uchochea mahaba kemkem.Maamuzi magumu sana kuzama chumvini/uvinza
Yetu mpaka mwisho, wenye wivu wajinyongeUpendo eternally ndo kauli mbiu yetu
Wajinyonge kweli... Karibu uhayaniYetu mpaka mwisho, wenye wivu wajinyonge
Uhayani ntakuja aisehhh ila nitumie samaki kwanza wa x-mass au unakuja naoWajinyonge kweli... Karibu uhayani
Nao ntawaleta bila kusahau seneneUhayani ntakuja aisehhh ila nitumie samaki kwanza wa x-mass au unakuja nao
Senene hahaha last time nilipita hapo banah niliondoka na msamaki mkubwaaNao ntawaleta bila kusahau senene