Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Matunda niyapendayo water melon haswa mchanaZako ni zipi katika tenga la matunda...?
Matunda niyapendayo water melon haswa mchanaZako ni zipi katika tenga la matunda...?
Mchana mwema ndugu zanguni wa jamii forumMatunda niyapendayo water melon haswa mchana
Jamii forums kiboko yaoMchana mwema ndugu zanguni wa jamii forum
Mwaliko wa msosi naupenda sana hebu tuma kadi mapemaKwanza upo tayari kwa mwaliko?
Duniani pana raha sana kuishi wapo walimwengu wachache wanaoharibu utamu wa maishaKinyongo cha nini sheshe, ishi Bila kinyongo uishi miaka mingi na heri duniani
Kusambaa kwa ugonjwa wa Ebola ulisababisha watu wengi kufa.Maji taka yamesababisha magonjwa ya cholera kusambaa !!!
training Mimi ntakufanyia bure kabisa .mpaka ujue kuogelea kama mambaSh ngapi unafanya hiyo training
nimekumiss pia MimiKusambaa kwa ugonjwa wa Ebola ulisababisha watu wengi kufa.
Halafu wewe nimekumic
Mamba ni mkali... Vya bure gharamatraining Mimi ntakufanyia bure kabisa .mpaka ujue kuogelea kama mamba
gharama basi jichagulie malipo wewe utalipa ngapiMamba ni mkali... Vya bure gharama
zilikuepo kama dollar 10Ngapi zilikuwepo
moja ikiongezeka sio mbaya.zama hizi za magu lazima kua na heshima na pesa10ongeza moja
Mchana na water melonMatunda niyapendayo water melon haswa mchana
kulikoni? Kuna siri hapo imejifichaJamii forum ni the most reliable source of information kuliko zile blog zinzopokea bahasha za khaki, hawatuweziiiii!!!!!Mchana mwema ndugu zanguni wa jamii forum
Yao sio kama yetu Jf, mitandao mingine hawana protocol, regulations, policy huku ukitukana tu unachezea ban hapa ni kwa greater thinkers tuJamii forums kiboko yao
Mapema leo nimeanza siku na makunyanzi ya matrafik nimejikuta trafik ameninang'ania na nimepoteza muda mwingi kumuelewesha mahala sijakosea, kazi ipoMwaliko wa msosi naupenda sana hebu tuma kadi mapema