Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Kidumu chama cha wapendanao, nakiangamie chama cha wadhalilishaji...Daima kidumu
Kidumu chama cha wapendanao, nakiangamie chama cha wadhalilishaji...Daima kidumu
Kidumu chama cha mapinduziDaima kidumu
Mapinduzi mapinduzi ivo walipindua lini na nani aliyepinduliwa....?Kidumu chama cha mapinduzi
Hao walipewa mkate wakaula peke yao bila kukaribisha.....Wadhalilishaji ni kina nani hao
Bora ulivyosema mwenyewe hapo itifaki izingatiwe......Kukaribisha wageni ni jambo bora
Bora ilikuwa kampuni ya viatu TanzaniaKukaribisha wageni ni jambo bora
Maajabu yepi?Tanzania ni nchi ya maajabu
Huyajui na wewe? Yataje kama unayajuaYep ina maana huyajui
Sasa sana najua kukutongoza tu basi, hayo maajabu siyajuiUnayajua sana
Mambo hayo ntakufundisha tu usihofu... wote walianza kwa kutoyajuaSiyajui kabisa hayo mambo
Kutoyajua mambo ya watu ni usalama wa nafsi yako na Amani kwako.....Mambo hayo ntakufundisha tu usihofu... wote walianza kwa kutoyajua
Kwako amani unaipata kwa kutojua mambo ya watu? Na hili neno information is power unalielewaje?Kutoyajua mambo ya watu ni usalama wa nafsi yako na Amani kwako.....
Waje wote waheshimiwaKwako amani unaipata kwa kutojua mambo ya watu? Na hili neno information is power unalielewaje?