DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,906
- 4,233
Mkubwa na wanae ndo habari ya mjiniSenene hahaha last time nilipita hapo banah niliondoka na msamaki mkubwaa
Mkubwa na wanae ndo habari ya mjiniSenene hahaha last time nilipita hapo banah niliondoka na msamaki mkubwaa
Mjini umekuja lini wewe kijanaMkubwa na wanae ndo habari ya mjini
Kijana mtanashatiMjini umekuja lini wewe kijana
mtanashati ni niniKijana mtanashati
Mtanashati mmoja kakutana na watanashati wengi kwenye beach part wapo safi wamependeza sana hakuna kulinga inaitwa, wewe pia mtu wangu usikose hii nyingine ya tarehe 24 beach partKijana mtanashati
You and me ulikuwa love song moja simkumbuki mtunzi wakeKuivumbua me and you...
Maamuzi mazuri yanaweza kukupa maisha matamuUfahamu unatiji sana kwenye kufanya maamuzi
Nilikukaribisha pia ukanichunia haya basi toa location upya uone kama sijaja rasmiWachoyo wapi Blaki Womani wakati jana nilikukaribisha.
Ama anataka kumdanganya kwamba yupo kwenye karatasi mpyaMpya kwa maana yeye mpenzi wako ni mgeni na mapenzi ama
Uvinza ipo pande ganiMaamuzi magumu sana kuzama chumvini/uvinza
Wake cassie mwanadada matata R&B Singer kaimba huo wimbo Me&YouYou and me ulikuwa love song moja simkumbuki mtunzi wake
Upendo na amani ni vitu muhimu sana kwenye maisha ya kila sikuWachoyo sana, tuanze mimi na wewe kutokomeza falsafa ya uchoyo humu ndani. Je wewe utanipa nini mimi nikikupa upendo
Wajinyonge na wafie mbali wasilolipenda watalikubaliYetu mpaka mwisho, wenye wivu wajinyonge
Uhayani kuna senene nawapenda sana niletee pakiti mbiliWajinyonge kweli... Karibu uhayani
Watalikubali kwa shingo upandeWajinyonge na wafie mbali wasilolipenda watalikubali
Nini kinaendelea muda huu baada ya taarifa ya waziri wa mambo ya ndanimtanashati ni nini
Mbili tu, hawatoshi alete ndooUhayani kuna senene nawapenda sana niletee pakiti mbili
Shingo upande utatoa talakaWatalikubali kwa shingo upande
Mbili tu umepataUhayani kuna senene nawapenda sana niletee pakiti mbili
Ndoo ni gharama sana kwa usawa huu wa kubana matumiziMbili tu, hawatoshi alete ndoo