supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Maendeleo yanakuja kidogo kidogo, taratibu utafikia malengoKukata tamaa ni mwiko kwa mwana maendeleo.
Maendeleo yanakuja kidogo kidogo, taratibu utafikia malengoKukata tamaa ni mwiko kwa mwana maendeleo.
Hawepewi uongozi mwaka 2020 maana wameshindwa kutuongozaVijana ni taifa la kesho hata field ya umiliki hawapewi
Kutuongoza vizuri kunahitaji kutekelezewa tuliyoahidiwa wananchiHawepewi uongozi mwaka 2020 maana wameshindwa kutuongoza
Wananchi tunataka katiba mpyaKutuongoza vizuri kunahitaji kutekelezewa tuliyoahidiwa wananchi
Katiba mpya hao viongozi wenyewe wala hawaipiganii mpaka uchaguziWananchi tunataka katiba mpya
Kura mimi sina imani nazo ukilinganisha na mafurikoUchaguzi ukifika ndiyo tutawahukumu kwenye kura
Lowassa alikuwa anakubalika sana lakini hakuchukua uraisMafuriko hayadhuiliki kwa lowassa
2020 bado karibu miaka minne, ni mbaliRais lazma awe lowassa 2020
Yule ameweka misingi mikubwa hasa alipobadili wakuu wapya na viongoziMbali ni sawa lkn tunajenga chama ili uchaguzi ukifika tumpige bwana yule
Viongozi wazuri wako chademaYule ameweka misingi mikubwa hasa alipobadili wakuu wapya na viongozi
Chadema inahitaji sapoti ya vyama vingine vya UKAWAViongozi wazuri wako chadema
UKAWA hawataweza kuchukua madaraka,Magu amejizatitiChadema inahitaji sapoti ya vyama vingine vya UKAWA
Amejizatiti ktk udiktetaUKAWA hawataweza kuchukua madaraka,Magu amejizatiti
a e i o u naimba kusoma na kuandikab ni alfabet inayofata baada ya a