HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,669
Kuandika unafahamua e i o u naimba kusoma na kuandika
Kuandika unafahamua e i o u naimba kusoma na kuandika
Udikteta hata UKAWA wakishika nchi watautumiaAmejizatiti ktk udikteta
Nyie yani sisi si ndio....Mmekosa kazi nyie
Baadae tukutane maskani tukacheze pool tableMabadiliko yaanzie kwetu, utaifa kwanza mengine baadae
Ndio sababu kuu ya kupelekwa mahakamaniNyie yani sisi si ndio....
Mahakamani kunapatikana hukumu zenye uadilifu.....Ndio sababu kuu ya kupelekwa mahakamani
Uadilifu ni moja ya tabia ya kiongozi mzuriMahakamani kunapatikana hukumu zenye uadilifu.....
Mzuri wa sura tu lakini tabia zake mbayaUadilifu ni moja ya tabia ya kiongozi mzuri
Mbaya wa uso lakini roho yake nzuriMzuri wa sura tu lakini tabia zake mbaya
Nzuri umeiona?Mbaya wa uso lakini roho yake nzuri
Umeiona ile nyumba ya vyumba ishirini, wanaokaa yatima na wazee vikongwe?, basi kaitoa yeyeNzuri umeiona?
Yeye mbona kama hana uwezo huoUmeiona ile nyumba ya vyumba ishirini, wanaokaa yatima na wazee vikongwe?, basi kaitoa yeye
Huo mradi aliandika project kwa wahisani na wazunguYeye mbona kama hana uwezo huo
Huo sasa ni uoga wa fikraYeye mbona kama hana uwezo huo
Wazungu....mbona nasikia siku hizi hawana habari na sisiHuo mradi aliandika project kwa wahisani na wazungu
Sisi tuna mahusiano nao mazuri hasa katika kutetea haki za binadamu, makundi mengi yanahitaji msaadaWazungu....mbona nasikia siku hizi hawana habari na sisi