Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Diamond ring huzungushiwa dhahabu ndipo thamani yake hupaa juu !!Mrefuu c yulee jamaa anemlindaa daimond
Diamond ring huzungushiwa dhahabu ndipo thamani yake hupaa juu !!Mrefuu c yulee jamaa anemlindaa daimond
juu ya yote niliyomfanyia ameniacha mitini......!!Juu kwa juu
Huko kwenye mataa....Mitini ndo wapi huko
Hayo ya hapo fireMataa ya wapi hayo
Hayo madafu ni ya kisarawe au pangani....?Mataa ya wapi hayo
Pangani ipo TangaHayo madafu ni ya kisarawe au pangani....?
Tanga na BwagaMoyo ndipo mababu zangu walipo teremkea na majahazi.....Pangani ipo Tanga
Majahazi wakatumia kubebea watumwaTanga na BwagaMoyo ndipo mababu zangu walipo teremkea na majahazi.....
Watumwa ndio ilikuwa nguvu kazi ya wakoloni enzi zile.Majahazi wakatumia kubebea watumwa
Ahaaa...sasa hapo !!! hakutumwa mtu !!!Majahazi wakatumia kubebea watumwa
Zile zilikuwa maridhiano ya mlipa mshahara na mlipwa mshahara......Watumwa ndio ilikuwa nguvu kazi ya wakoloni enzi zile.
Mshahara wenyewe alikuwa analipwa MTU asiefanya kazi....Zile zilikuwa maridhiano ya mlipa mshahara na mlipwa mshahara......
Kazi afanye John, Mshahara walipwe Joni,Jon, Johnson, Jones nk nk wafanya kazi hewa....Mshahara wenyewe alikuwa analipwa MTU asiefanya kazi....
Hewa ndio kitu cha bure dunianiKazi afanye John, Mshahara walipwe Joni,Jon, Johnson, Jones nk nk wafanya kazi hewa....
Duniani kuna maajabu na watu wa ajaabu hata ukiyakimbia hayo yatakufuata...Hewa ndio kitu cha bure duniani
Yatakufuata mpaka kuna muda unaweza kukata tamaaDuniani kuna maajabu na watu wa ajaabu hata ukiyakimbia hayo yatakufuata...