Andrew lugobi
Member
- Aug 7, 2016
- 50
- 40
Sisi ndiyo tunajipendeza kwa wazungu tu ila wao hawana habar
Habari hizi nikisikia kitambo sana... Baada ya uchaguzi tutuliambiwa tujitegemee wenyeweSisi ndiyo tunajipendeza kwa wazungu tu ila wao hawana habar
Wenyewe tuliyataka kumchagua mtu ambaye hata kidhungu cha kuandika hajuwiHabari hizi nikisikia kitambo sana... Baada ya uchaguzi tutuliambiwa tujitegemee wenyewe
Hajui kweliWenyewe tuliyataka kumchagua mtu ambaye hata kidhungu cha kuandika hajuwi
ndo mana tunapekwa pekekwa tu sijui tutafikaje?Tutafikaje!!!unategemea nn kupanda gari dereva akiwa kipofu na mnapita polini pia ni usiku?Hajui kweli![]()
ndo mana tunapekwa pekekwa tu sijui tutafikaje?
Usiku? Kwahiyo tutaishia njiani? Nimesoma namba zote mpaka zimeisha.Tutafikaje!!!unategemea nn kupanda gari dereva akiwa kipofu na mnapita polini pia ni usiku?
Zimeisha zote na nimeanza kuzisoma zote upya mimiUsiku? Kwahiyo tutaishia njiani? Nimesoma namba zote mpaka zimeisha.
Mimi natamani msimu huu ningekua mtoto.Zimeisha zote na nimeanza kuzisoma zote upya mimi
MtotoMimi natamani msimu huu ningekua mtoto.

darassa kasema ludi utotoni ukichoka kutembea unabebwaUnabebwa.... Wanibebe na Mimi.Mtotodarassa kasema ludi utotoni ukichoka kutembea unabebwa
Mimi sikushauli ubebwe mzee mwenzanguUnabebwa.... Wanibebe na Mimi.
Mwenzangu ukibebwa ujikazeMimi sikushauli ubebwe mzee mwenzangu
Ujikaze haswa bila hivyo utaangushwaMwenzangu ukibebwa ujikaze
Utaangushwa na bila shaka utaumiaUjikaze haswa bila hivyo utaangushwa
Utaumia usipo chukuwa tahadhari barabarani.....Utaangushwa na bila shaka utaumia
Barabarani siogopi huwa nipo makini... Naogopa maisha ya sasa magumuUtaumia usipo chukuwa tahadhari barabarani.....
Magumu na tunaendelea kuisoma nambaBarabarani suogopi huwa nipo makini... Naogopa maisha ya sasa magumu
Namba ipi unayoisoma wakati Ulimwengu mzima umehaha kiuchumi......?Magumu na tunaendelea kuisoma namba
Kiuchumi nchi yetu inashika mkiaNamba ipi unayoisoma wakati Ulimwengu mzima umehaha kiuchumi......?
Mkia wa kondoo ndiyo wenye thamani.....Kiuchumi nchi yetu inashika mkia