irk
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 486
- 389
Stress free pill utaipata kwa irkAfya bora usiwe na stress
Stress free pill utaipata kwa irkAfya bora usiwe na stress
Irk umepotea sana nowdays, jana nimekuota usingizini mpaka nimekumissStress free pill utaipata kwa irk
Yangu yangu, yako yangu pia.Nimekumiss sana mama yangu.
Pia na mimi nahitaji kuwa mchezaji bora kama Messi na RonaldoYangu yangu, yako yangu pia.
Hela anazo na bado anaendelea kusaka pesa kama bakhresaRonaldo mjanja sana kwenye hela.
Tanzania ni nchi tajiriBarkheresa ni tajiri mkubwa sana hapa Tanzania
Vijijini kuna ardhi yenye rutubaMaskini wengi wapo sana vijijini.
Rutuba iliyopo ni kwa kumwagilia maji, mbolea na kutunza mazingiraVijijini kuna ardhi yenye rutuba
Mazingira ya walimu ni magumuRutuba iliyopo ni kwa kumwagilia maji, mbolea na kutunza mazingira
Magumu kuyakabili endapo hutaamua kujishughulishaMazingira ya walimu ni magumu
Kujishughulisha ni muhimu sana mkono uwende kinywani kwa sisi vijanaMagumu kuyakabili endapo hutaamua kujishughulisha
Vijana ni taifa la kesho hata field ya umiliki hawapewiKujishughulisha ni muhimu sana mkono uwende kinywani kwa sisi vijana
Hawapewi nafasi katika ngazi ya uongozi serikaliniVijana ni taifa la kesho hata field ya umiliki hawapewi
Namna ipi nzr kutengeza nywele za kwapaSerikalini pamejaa uozo wa kila namna.