supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Mnyonge anakandamizwa lakin mnyonge mnyongeni haki yake mpeniSiku hizi hakuna mswalie, kila nyanja zinakamuana na kila mnyonge anakandamizwa....
Mnyonge anakandamizwa lakin mnyonge mnyongeni haki yake mpeniSiku hizi hakuna mswalie, kila nyanja zinakamuana na kila mnyonge anakandamizwa....
Chai gani ya adhuhuri hii... Sasa ni wakati wa msosi mpunga ubwabwa.....Mpeni mgeni chai
Mafuta ya aina gani unazungumzia..? mafuta ni general word hebu tupashe....Ubwabwa wa Nazi au wa mafuta
Tule chakula kitamuTupashe ugali wetu tule
Kikilala hasa wali na maharageKitamu kweli haswa kikilala
Nazi kwenye kisamvu kinakuwa kitamuMaharage yakolee Nazi
Kitaamu chenu kumbe ni kiporo.. khaah nyie wavivu wa kupika...!!Nazi kwenye kisamvu kinakuwa kitamu
Wavivu wa kupika wanakula hotelKitaamu chenu kumbe ni kiporo.. khaah nyie wavivu wa kupika...!!
Hotel kuna wenyewe... Kwa mama ntilie au chips za wapembaWavivu wa kupika wanakula hotel
Wapemba wanauza chips kavu buku tu unapataHotel kuna wenyewe... Kwa mama ntilie au chips za wapemba
Unapata na ni tamuWapemba wanauza chips kavu buku tu unapata
Tamu lakn aishindi ya toluuUnapata na ni tamu
Toluu ni wa wapiTamu lakn aishindi ya toluu
Mrefuu c yulee jamaa anemlindaa daimondChuga kwa mrefuu