supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Familia ni kusaidiana kulea kwa pamojaHuwashinda haswaa na siku hizi wanawake ndo wanaolisha,kusomesha na kutunza familia
Familia ni kusaidiana kulea kwa pamojaHuwashinda haswaa na siku hizi wanawake ndo wanaolisha,kusomesha na kutunza familia
Siku hizi mwanamke akipata hela kidogo basi mtakoma ndani ya nyumbaHuwashinda au ni kuchoshwa na tabia na maudhi ya kina dada wa siku hizi?
Ndani ya nyumba na mkeo hakuna dharau, dharau ipo kwa wapenzi(bf na gf) vijana
Out na wewe pia umeongea kiingereza wakati hapa kinatakiwa kiswahili, haya tutoke nje wote wewe na mimiVijana hata huu mchezo umewashinda, tazama ulivyoanza kuandika na kanuni za huu mchezo, ilitakiwa kila anaekosea anakuwa out.
Kwa hiyo, please get out.
Ndani ya nyumba ukiona mwanamke analeta shida jua kwa mumewe ameshindwa majukumu yake kama mumeSiku hizi mwanamke akipata hela kidogo basi mtakoma ndani ya nyumba
Mume hana tatizo, tatizo lipo kwa mke kumpanda mumewe kichwani mpaka anatia hasiraNdani ya nyumba ukiona mwanamke analeta shida jua kwa mumewe ameshindwa majukumu yake kama mume
Out na wewe pia umeongea kiingereza wakati hapa kinatakiwa kiswahili, haya tutoke nje wote wewe na mimi
Ndani ya nyumba ukiona mwanamke analeta shida jua kwa mumewe ameshindwa majukumu yake kama mume
Mume suruali ndo wengi siku hizi wanapenda kulelewamume suruali
Mume suruali ndo wengi siku hizi wanapenda kulelewa
Uwe out kwa sheria na kanuni, kwasababu hazikuwekwa basi tuendelee kubaki kwenye huu uzimimi sijaona pahala kuwa kuna kanuni ya kuongea Kiswahili tu, kama ipo ioneshe na ntakuwa wa kwanza kuachia ngazi, ingawa wewe ulitakiwa uwe out
Uzi huu hauna mwenyewe kila mmoja ajiachie kwa stahaUwe out kwa sheria na kanuni, kwasababu hazikuwekwa basi tuendelee kubaki kwenye huu uzi
Staha na heshma, nidhamu na maadili, amani na upendo, ndio ngao yetu watanzaniaUzi huu hauna mwenyewe kila mmoja ajiachie kwa staha
Watanzania ni watu wa amaniStaha na heshma, nidhamu na maadili, amani na upendo, ndio ngao yetu watanzania
Amani ikitawala, maendeleo na mafanikio yapo karibuWatanzania ni watu wa amani
Karibu mpaka ndani ila sharti uvue nguoAmani ikitawala, maendeleo na mafanikio yapo karibu
Nguo za mtumba bei nafuu sana manzese, tandika na hata kariakooKaribu mpaka ndani ila sharti uvue nguo
Karikaoo nidyo soko linaloongoza kwa bidhaa za kila aina yaani feki na asili......Nguo za mtumba bei nafuu sana manzese, tandika na hata kariakoo
Asili haachi asiliKarikaoo nidyo soko linaloongoza kwa bidhaa za kila aina yaani feki na asili......
Asili yako wewe ni mtu wa wapi, au ni mchaga kama mimiAsili haachi asili