Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
Nimekifafanya kimalize shule vizuri nikiwa nakisubiri, lakini mwishowe kimenitenda...Kilimo cha vitunguu nimekifanya
Nimekifafanya kimalize shule vizuri nikiwa nakisubiri, lakini mwishowe kimenitenda...Kilimo cha vitunguu nimekifanya
Nimekifanya kilimo kuwa kipaumbele awamu hii ya tanoKilimo cha vitunguu nimekifanya
Tano, sita, saba, nane, tisa, kumi, 11, 12, 13, 14Nimekifanya kilimo kuwa kipaumbele awamu hii ya tano
Kimenitenda kitoto cha shuleNimekifafanya kimalize shule vizuri nikiwa nakisubiri, lakini mwishowe kimenitenda...
Hii ya tano nitafutie hekari 10 za shamba !!Nimekifanya kilimo kuwa kipaumbele awamu hii ya tano
Shamba bei rahisi siku hizi bei zimepunguaHii ya tano nitafutie hekari 10 za shamba !!
Zimepungua bei hizo shamba zipo maeneo gani ?Shamba bei rahisi siku hizi bei zimepungua
Maeneo gani mazuri karibu na wewe unapoishi ndo unatakiwa utafute shamba au eneo, ukitafuta mbali gharama za kuliendesha na usimamizi itakuwa ni changamotoZimepungua bei hizo shamba zipo maeneo gani ?
Changamoto niliyonayo nikuwa mie wa upanga B yaani mjini...Maeneo gani mazuri karibu na wewe unapoishi ndo unatakiwa utafute shamba au eneo, ukitafuta mbali gharama za kuliendesha na usimamizi itakuwa ni changamoto
Mjini unakaa karibu na kina atug jiraniChangamoto niliyonayo nikuwa mie wa upanga B yaani mjini...
Mjini kwako wewe unaweza kulima kigamboni,ruvu hata bagamoyoChangamoto niliyonayo nikuwa mie wa upanga B yaani mjini...
Jirani na ZZ kwa humu JFMjini unakaa karibu na kina atug jirani
Bagamoyo, kibiti, mkuranga, vikindu na ikwiririMjini kwako wewe unaweza kulima kigamboni,ruvu hata bagamoyo
BwagaMoyo unipeleke huko tena?? babu yangu alishatuhamisha wee wataka unirudishe....?Mjini kwako wewe unaweza kulima kigamboni,ruvu hata bagamoyo
Unirudishe sehemu nzuri, nenda kibiti, mkuranga, vikindu na ikwiriri sio mbali kutokea mbagalaBwagaMoyo unipeleke huko tena?? babu yangu alishatuhamisha wee wataka unirudishe....?
Matunda peleka soko la kariakoo huko ukawaokote watejaLazima kuna petro na kuna yuda utapigwa mawe Mti wa matunda
Mbagala ndiyo itakuwa certerpoint yetu yakukutana nitakapo wasili.....Unirudishe sehemu nzuri, nenda kibiti, mkuranga, vikindu na ikwiriri sio mbali kutokea mbagala
Wasili kwa safari njema, utatukuta tunakusubiri atug na mimiMbagala ndiyo itakuwa certerpoint yetu yakukutana nitakapo wasili.....
Mimi ninatafuta shamba, Simtafuti Atug... Ha ha ha ha umenichekesha !!Wasili kwa safari njema, utatukuta tunakusubiri atug na mimi