fuma
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 214
- 408
Umenichekesha lakini kama kinyago nmepiga kimyaMimi ninatafuta shamba, Simtafuti Atug... Ha ha ha ha umenichekesha !!
Umenichekesha lakini kama kinyago nmepiga kimyaMimi ninatafuta shamba, Simtafuti Atug... Ha ha ha ha umenichekesha !!
Kimya kingi ujue kuna jamboUmenichekesha lakini kama kinyago nmepiga kimya
Kimya ni ashirio la uelewa wa mambo yenye mantik !!Umenichekesha lakini kama kinyago nmepiga kimya
Mantik ya kutokutoa ajira mpaka sasa bado haipo waziKimya ni ashirio la uelewa wa mambo yenye mantik !!
Ajira ambazo kimsingi ni haki ya wengi wetuWazi wazi wanatunyima ajira
Wetu umekuwa umaskini wallahiAjira ambazo kimsingi ni haki ya wengi wetu
Wengi wetu tumekubali matokeoAjira ambazo kimsingi ni haki ya wengi wetu
Matokeo yapo ya aina tatu:- droo,kuwin au kuloseWengi wetu tumekubali matokeo
Matokeo hatuna budi kuyapokea coz sisi wanyonge mnoWengi wetu tumekubali matokeo
Kulose pia ni sawa, ashindwae pia mumeMatokeo yapo ya aina tatu:- droo,kuwin au kulose
Mume asiyelala na mkewe...kaamka mzungu wa nneKulose pia ni sawa, ashindwae pia mume
Mzungu wa nne kwa sisi tuliyopo ndani ya ndoa inatokea sana na ni kawaidaMume asiyelala na mkewe...kaamka mzungu wa nne
Kawaida ni kama sheria, usipopiga gemu nzuri na ya kutosha utadharaulika ndani ya NYUMBAMzungu wa nne kwa sisi tuliyopo ndani ya ndoa inatokea sana na ni kawaida
Nyumba ili iwe na amani ni kwa mume kujua majukumu yake na mke kufahamu nafasi yakeKawaida ni kama sheria, usipopiga gemu nzuri na ya kutosha utadharaulika ndani ya NYUMBA
Nafasi yake mwanamke ni nyumbani kwake atulie na kuleea watoto.....Nyumba ili iwe na amani ni kwa mume kujua majukumu yake na mke kufahamu nafasi yake
watoto na wajukuu tunalea na shughuli zingine kibao tunafanya, wanaume mmebweteka sana, kazi hamziwezi, hata za nyumbani huwashindaNafasi yake mwanamke ni nyumbani kwake atulie na kuleea watoto.....
Huwashinda haswaa na siku hizi wanawake ndo wanaolisha,kusomesha na kutunza familiawatoto na wajukuu tunalea na shughuli zingine kibao tunafanya, wanaume mmebweteka sana, kazi hamziwezi, hata za nyumbani huwashinda
Ndani ya nyumba na mkeo hakuna dharau, dharau ipo kwa wapenzi(bf na gf) vijanaKawaida ni kama sheria, usipopiga gemu nzuri na ya kutosha utadharaulika ndani ya NYUMBA