atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,821
- 3,618
Mimi mhayaAsili yako wewe ni mtu wa wapi, au ni mchaga kama mimi
Mimi mhayaAsili yako wewe ni mtu wa wapi, au ni mchaga kama mimi
Mhaya ni mtu mwenye haya/aibu au staha nyingi.., hiyo ni kikwetu sisi, Sasa sijui nimepatia?Mimi mhaya
Nimepatia kuhusu wewe ZZ upo morogoroMhaya ni mtu mwenye haya/aibu au staha nyingi.., hiyo ni kikwetu sisi, Sasa sijui nimepatia?
Morogoro mji kasoro bahariNimepatia kuhusu wewe ZZ upo morogoro
nimepatia kuwa wa mwisho ili nipate zawadiMhaya ni mtu mwenye haya/aibu au staha nyingi.., hiyo ni kikwetu sisi, Sasa sijui nimepatia?
Bahari inatisha ikichafuka mawimbi makubwa yanazamisha ngalawa, boti na meliMorogoro mji kasoro bahari
mhaya wa wapiMimi mhaya
Nguo hizo za kuvua niaje wakati wadau washasema hakuna sheria wala kanuni zilizowekwa kwenye huu uzi.Karibu mpaka ndani ila sharti uvue nguo
Wapi kwa Bukoba ni mhaya wa Marukumhaya wa wapi
Maruku naisikiaga sanaWapi kwa Bukoba ni mhaya wa Maruku
Bukoba ndo ulianzia ukimwi, ilianzia vita ya kagera, ikapata na tetemeko.....sana sana inasikika huko bukoba
Tetemeko la ardhiBukoba ndo ulianzia ukimwi, ilianzia vita ya kagera, ikapata na tetemeko...
Ardhi ilitetemeka isivyotegemewa.. Yaani unaweza ukadhani ni mwisho wa duniaTetemeko la ardhi
Dunia ina maajabu mengi, na ukistaajabu ya mussa utaona ya firauniArdhi ilitetemeka isivyotegemewa.. Yaani unaweza ukadhani ni mwisho wa dunia
Firauni alishangaza, lakini wapo wanaoshangaza piaDunia ina maajabu mengi, na ukistaajabu ya mussa utaona ya firauni
Pia sasa hivi wapo wanaofanya maasi makubwa kupita maelezoFirauni alishangaza, lakini wapo wanaoshangaza pia
Maelezo yanayopita maelezo ni yepi hayo?Pia sasa hivi wapo wanaofanya maasi makubwa kupita maelezo
Hayo ni matukio makubwa ambayo ni ya kinyama hayastahili kufanywa na binadamuMaelezo yanayopita maelezo ni yepi hayo?