Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
Binadamu hastahili kuyafanya, lakini si ndo huyo huyo binadamu anayafanya kila kukicha?Hayo ni matukio makubwa ambayo ni ya kinyama hayastahili kufanywa na binadamu
Binadamu hastahili kuyafanya, lakini si ndo huyo huyo binadamu anayafanya kila kukicha?Hayo ni matukio makubwa ambayo ni ya kinyama hayastahili kufanywa na binadamu
Kila kukicha afadhali ya janaBinadamu hastahili kuyafanya, lakini si ndo huyo huyo binadamu anayafanya kila kukicha?
Jana ilishapita, kesho ni majaaliwa, we ishi leo badala ya kukaa unaikumbuka afadhani ya jana iliyopitaKila kukicha afadhali ya jana
Iliyopita ni awamu ya nneJana ilishapita, kesho ni majaaliwa, we ishi leo badala ya kukaa unaikumbuka afadhani ya jana iliyopita
Nne unaziweza LIN?Iliyopita ni awamu ya nne
Nne ni awamu aliyokuwa rais KikweteIliyopita ni awamu ya nne
Mkwere alikuwa mtu safi tunamkumbuka watanzaniaKikwete ni mkwere
Watanzania tunawaza aliwezaje kufanya hela iwe kitaa wakati kulikuwa na mahewa kibaoMkwere alikuwa mtu safi tunamkumbuka watanzania
Kibao sasa kimegeuka hao mahewa wamechafua hali ya hewa..Watanzania tunawaza aliwezaje kufanya hela iwe kitaa wakati kulikuwa na mahewa kibao
Hali ya hewa ni baridi leoKibao sasa kimegeuka hao mahewa wamechafua hali ya hewa..
Leo ni haridi sawa, lakini haikawi kubadirikaHali ya hewa ni baridi leo
Kubadilika inaweza ila kina fudenge wanatamani iendelee kuwepo ili wafaidi matunda ya uhuru..Leo ni haridi sawa, lakini haikawi kubadirika
Uhuru usio na mipaka, matunda yake huozaKubadilika inaweza ila kina fudenge wanatamani iendelee kuwepo ili wafaidi matunda ya uhuru..
Huoza na kutoa wadudu wengiUhuru usio na mipaka, matunda yake huoza
Wengi wameukimbia uzi huu,Ukhuty na wengine wako wapiHuoza na kutoa wadudu wengi
Kuelekea Ilala kwa HB..wapi walipoukimbiza uzi kuelekea??
HB kirefu chake ni niniKuelekea Ilala kwa HB
Ni nini kama sio handsome boyHB kirefu chake ni nini