atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,821
- 3,618
Uvumilivu una mwisho wakeNamba zipo tunahitaji uvumilivu
Uvumilivu una mwisho wakeNamba zipo tunahitaji uvumilivu
Silaha zinaingizwa kinyamela na wafanya biashara !!Utata uliopo ni kwenye raia kumiliki silaha
Kumiliki silaha inahitaji umakini... USIKUTE ANAYEKUUDHI MPAKA AKASABABISHA UMILIKI SILAHA MMEPATANA...Utata uliopo ni kwenye raia kumiliki silaha
Biashara zinasumbua kidogo hasa msimu wa mvua nyingiSilaha zinaingizwa kinyamela na wafanya biashara !!
Mvua nyingi ni ishara ya Globle warming ambay sisi ndiyo sababu....Biashara zinasumbua kidogo hasa msimu wa mvua nyingi
Patana na adui yako kwa mazungumzo ya amani, hakuna haja ya uadui na kutumia silahaKumiliki silaha inahitaji umakini... USIKUTE ANAYEKUUDHI MPAKA AKASABABISHA UMILIKI SILAHA MMEPATANA...
Silaha itatumika tu, hasa kama adui mwenyewe hataki kupatanaPatana na adui yako kwa mazungumzo ya amani, hakuna haja ya uadui na kutumia silaha
Sababu nyingine ni utaratibu wake mvua kunyesha kila mwakaMvua nyingi ni ishara ya Globle warming ambay sisi ndiyo sababu....
Mwaka huu Christmas nasubiri mwaliko wako SupermarketSababu nyingine ni utaratibu wake mvua kunyesha kila mwaka
Mwaka uliyopita hali yangu ya kiuchumi ilikuwa wastan.....Sababu nyingine ni utaratibu wake mvua kunyesha kila mwaka
supermarket ndugu yangu na mimi usinsahau katika mwaliko......Mwaka huu Christmas nasubiri mwaliko wako Supermarket
Supermarket unanipa mtihani mkubwa mkuuMwaka huu Christmas nasubiri mwaliko wako Supermarket
Supermarket ipi utanunua vifaa, vyakula na vinywaji vya krismasi?Mwaka huu Christmas nasubiri mwaliko wako Supermarket
Wastani, yote maisha mkuu tuendelee kupambana na changamotoMwaka uliyopita hali yangu ya kiuchumi ilikuwa wastan.....
Wastani, yote maisha mkuu tuendelee kupambana na changamoto
Changamoto gani unaiona mpaka useme nakuja wakati mgumu kuhusu mwaliko wa ChristmasWastani, yote maisha mkuu tuendelee kupambana na changamoto
Christmass nitakuwa na familiaChangamoto gani unaiona mpaka useme nakuja wakati mgumu kuhusu mwaliko wa Christmas
Fursa zipo nyingi kwenye uvuvi, biashara na kilimoChangamoto ndiyo fursa
Familia haina shida... Mie na ZZ ukitualika ni part ya familia yakoChristmass nitakuwa na familia
Kilimo cha vitunguu nimekifanyaFursa zipo nyingi kwenye uvuvi, biashara na kilimo