Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,186
- 35,341
Ujue nimerudia kusoma heading zaidi ya mara tatu ndiyo nikaelewa..Mangiii, tulia basi uandike vizuri. Kwanza hongera kwa kufikisha 40, maisha yameanza rasmi😅
Huyu Kaka 'angu basi tu😄
Ujue nimerudia kusoma heading zaidi ya mara tatu ndiyo nikaelewa..Mangiii, tulia basi uandike vizuri. Kwanza hongera kwa kufikisha 40, maisha yameanza rasmi😅
Huyu kaka ako analala aweke chupa pembeni aandike vizuri..😅Ujue nimerudia kusoma heading zaidi ya mara tatu ndiyo nikaelewa..
Huyu Kaka 'angu basi tu😄
Vijana tunahangaishwa na magari na maisha mazuri tusijue watu wameyavumilia, kupambana kukosa na kupata mpka kufikia hapoBwashee , haya maisha nyumbu wanaoitwa motivation spika wanawadanganya sana vijana laiti ningepata hata ka ujasiri ka kuwasanua wana hapa jf kummmke
Bwashee na wewe unaendeshwa na huu ujinga kwani?Vijana tunahangaishwa na magari na maisha mazuri tusijue watu wameyavumilia, kupambana kukosa na kupata mpka kufikia hapo
Sasa sisi mtu anasema weka laki upate million, hufikirii laki Tisa itatoka wapi ??
Nadhani vijana tuwe na subra na nidhamu ya kazi, pesa na kutengeneza uhalisia kwenye utafutaji nje ya hapo ni vilio
Upo ghorofa ya nne..?Karibu chamani
Kwa nini unabisha umri wangu?Mkuu kama ni mlevi angalia namna ya kuacha rasmi. Life begins at 40
Yaani hapo unaachana na games kabisa. Unaanza kuangalia future na legacy kwa familia yako.
Ila nabisha huo umri huna. Wewe ukienda sana 36 hvi
Hapana bwashee mimi naenda taratibu na life aseehBwashee na wewe unaendeshwa na huu ujinga kwani?
Kunizidi 11 yrs, ndio unione mdogo? Aah wapiii.Kumbe wewe ni kidigidigi kabisa halafu hausalimii😅
Kizazi cha nyoka, itakijua tu kwa matendo yake.Pumbavu bwashe😁
Ndio ufanye kuniamkia sasa Mdogo angu.Kumbe umekula kula vijichumvi...