realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,335
- 18,386
Kweli kabisaSanaa, uzee ni baraka.
Kweli kabisaSanaa, uzee ni baraka.
JF kumbe tumo humu na wajukuu zetuNina 34yrs ila kidevuni nina mvi kama 3 hivi,ilianza moja naona zinaongezeka...
Kifupi nazipenda...
HaswaaaKweli kabisa
Unapenda Mvi? Upo vizuri mkuu.Nina 34yrs ila kidevuni nina mvi kama 3 hivi,ilianza moja naona zinaongezeka...
Kifupi nazipenda...
Nipo Nyashishi hapa nabugia michembe huku nashushia na togwa.Karibu yakhe!Inshallah maalim
Eeehh Min kawa kijana wa makamo muhuni😂😂Umeona ee 🙌😅😅😅
So now una umri gani many🥰😂😂😂 tena ninavyopenda kuweka wazi umri wangu.
Natamani hata nidanganye niweke nilizaliwa zamani, natamani ukubwa mnoo.
Vyakula vya kikafiri hivyo shekhNipo Nyashishi hapa nabugia michembe huku nashushia na togwa.Karibu yakhe!
😂😂😂 Dear, nitaacha sura ioneshe kuwa mie ni wa zamaniii.Ukifika 30 utajua badala ya kuwaza kuongeza umri utaanza kuwaza kupunguza.
Ila 3rd floor ikiingia tu inaingia na mabadiliko hadi ya sura. Sura inabadilika😂😂😂hapo ndio sunscreen utazijua.
Ana makusudi sana huyu Mzeee 😅😅😅🙌Eeehh Min kawa kijana wa makamo muhuni😂😂
Labda Mzungu Kichaaa 😅😅😅Vijana wa miaka hiyo wamekuwa legelege sana, ni tafauti na sisi vijana wa miak 1940; tulipofikisha miaka 15 tulipambana kuwafukuza wazungu
Ebu nitumie kwenye daladala nizikute hapo town nataNipo Nyashishi hapa nabugia michembe huku nashushia na togwa.Karibu yakhe!
Huwa mnaziogopa?? Mnataka kurudi utotoni? AiseeeUnapenda Mvi? Upo vizuri mkuu.
Usijali ukifika 40 utafurahia
Never say never ohooooo😂😂😂😂.😂😂😂 Dear, nitaacha sura ioneshe kuwa mie ni wa zamaniii.
Kujidogosha sio kabisa.
Weka namba yako ya redio kolu nikutumie mapanki maalim.Vyakula vya kikafiri hivyo shekh
Aiseeee,kwamba 34 ni mjukuu kwako? Mpo rika moja na akina mzee Mohamed Said ?JF kumbe tumo humu na wajukuu zetu
aise
Ndio nchi nyingi za kiafrika zimepata uhuru, bila sisi mngekuwa watumwa mpaka leo.Labda Mzungu Kichaaa 😅😅😅